MTAZAMO WA BABA ASKOFU BAGOZA KUHUSU KUKATWA KWA MALISA GJ NA BONIFACE JACOB
NYOTA WETU Baba Askofu Benson Bagonza ameandika yafuatayo:” NCHI HII KUBWA: Bora Taharuki kuliko Mauaji. Sifa moja muhimu ya kiongozi ni kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa jamii. Nyumba inapoungua moto, ni bora kuokoa hata godoro moja kuliko kuua panya wanaokimbia moto unaounguza nyumba. Mitandao ya kijamii usiku wa leo (25/4/2024) imejaa habari za Mwanaharakati […]