MTAZAMO WA BABA ASKOFU BAGOZA KUHUSU KUKATWA KWA MALISA GJ NA BONIFACE JACOB
NYOTA WETU Baba Askofu Benson Bagonza ameandika yafuatayo:" NCHI HII KUBWA: Bora Taharuki kuliko Mauaji. Sifa moja muhimu ya kiongozi ni kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa jamii. Nyumba inapoungua…