“WHY WE AWARDED BOBRISKY BEST DRESSED FEMALE” ENIOLA AJAO

OUR STAR 🌟 A Nigerian actress and filmmaker, Eniola Ajao, has come out to explain why controversial transwoman Bobrisky was awarded ‘Best Female Dressed’. Recall that Gistreel reported how celebrities who attended the movie premiere of Ajanaku: Beast of Two Worlds movie flared up for awarding Bobrisky with the Best Dressed Female. Drama erupted on… Continue reading “WHY WE AWARDED BOBRISKY BEST DRESSED FEMALE” ENIOLA AJAO

MICHAEL OLISE KWENYE RADA ZA MANCHESTER UNITED

MICHEZO Klabu ya Manchester United imewekeza nguvu kubwa zaidi kwenye mchakato wa kuipata saini ya winga wa Crystal Palace na Ufaransa, Michael Olise, kuelekea dirisha lijalo la majira ya kiangazi. Awali, Man United ilikuwa ikitaka kumsajili mshambuliaji wa PSV, Johan Bakayoko, lakini inaonekana kuna vita kubwa kutoka kwa Liverpool na Manchester City’ ambazo pia zinataka… Continue reading MICHAEL OLISE KWENYE RADA ZA MANCHESTER UNITED

HOW YOUTUBE PAYS YOUR CONTENTS

TECHNOLOGY I just graduated from the YouTube Shorts Creators programs by Youtube and here is what you need to understand about Youtube. YouTube works like every other social platform. The major difference is that they pay their creators for their content. Most people are attracted to YouTube because of this. Most people struggle for year’s… Continue reading HOW YOUTUBE PAYS YOUR CONTENTS

NDOTO YA KOCHA SVEN-GORAN ERIKSSON YATIMIA AKIWA NA MIAKA 76

NYOTA WETU Meneja wa zamani wa timu ya Taifa ya England Sven-Goran Eriksson (76) alitokwa na machozi jana alipofanikiwa kutimiza ndoto yake kuu ya kabla ya kifo. Januari mwaka jana Kocha huyo mkongwe alitangaza kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani ambao uko kwenye hatua za mwisho na hivyo siku zake za kuishi si nyingi. Katika mahojiano… Continue reading NDOTO YA KOCHA SVEN-GORAN ERIKSSON YATIMIA AKIWA NA MIAKA 76

MALAYSIA YAKATAA JUKUMU LA UENYEJI WA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA

MICHEZO Malaysia imekuwa nchi ya pili kulikataa jukumu la uenyeji wa michezo ya Jumuiya ya Madola kwa mwaka 2026. Hali hii inayaweka mashindano hayo kwenye wasiwasi wa kufutwa kwa mara ya kwanza tangu vita kuu ya Pili ya Dunia. Nchi hiyo ambayo ilikuwa mwenyeji wa michezo hiyo mwaka 1998 ilikubali kuchukua jukumu baada ya jimbo… Continue reading MALAYSIA YAKATAA JUKUMU LA UENYEJI WA MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA

17 HABITS THAT SHOWS YOUR MARRIAGE IS NOT GREAT

LOVE ❤ Sometimes, we do have a fake assessment of our marriage. Some think their marriages are doing very great, but the truth is their marriages are very poor and not progressive.Here let us examine some habits in your marriage that show it’s not great.

PRINCESS KATE AFICHUA KUUGUA KANSA

NYOTA WETU Baada ya Princess Catherine Elizabeth Middleton maarufu kama Princess Kate ambaye ni Mke wa Prince William wa Wales, mrithi wa ufalme wa Uingereza kutoonekana kwa muda mrefu na kuibua maswali na taharuki kwa watu wengi nchini Uingireza huku hofu ikitanda juu ya Afya yake. Hatimaye Princess Kate leo Ijumaa ameonekana kwenye kipande cha video kilichoonyeshwa kupitia ukurasa… Continue reading PRINCESS KATE AFICHUA KUUGUA KANSA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner