VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

HABARI KUU VLADIMIR Putin amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa Rais wa Urusi na kuweka rekodi katika uchaguzi wa Urusi uliomalizika jana Jumapili ambapo katika matokeo ya awali yanaonesha kuwa amepata asilimia 87.8 za kura huku Nikolay Kharitonov aliyekamata nafasi ya pili akipata kura chini ya asilimia 4. Akihutubia baada ya kumalizika kwa zoezi la upigaji… Continue reading VLADIMIR PUTIN ASHINDA KWA KISHINDO UCHAGUZI MKUU URUSI

VLADIMIR PUTIN AMPA ZAWADI KIM JONG UN

HABARI KUU Rais wa Urusi Vladimiri Putin amempa zawadi kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un gari la kifahari lililotengenezwa Urusi. Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimesema gari hilo liliwasilishwa kwa wasaidizi waandamizi wa Bwana Kim siku ya Jumapili. Msemaji wa Ikulu ya Urusi Dmitry Peskov baadaye alithibitisha kutolewa kwa zawadi hiyo akisema gari… Continue reading VLADIMIR PUTIN AMPA ZAWADI KIM JONG UN

SAFARI YA KUMUONDOA PUTIN YAANZA NA 16

HABARI KUU. Wagombea 16 wamejitokeza kuchuana na Rais Vladimir Putin kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi Machi 2024. Hayo yamesemwa na maafisa wa uchaguzi leo Desemba 20,2023. Kwa siku za hivi karibuni imezoeleka Urusi kutohusisha wapinzani kwenye chaguzi hali ambayo imekuwa ikifanya hali ya kisiasa kuwa mbaya na hali iliyochangia Kremlin kuivamia Ukraine kijeshi mnamo mwaka 2022.… Continue reading SAFARI YA KUMUONDOA PUTIN YAANZA NA 16

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner