SABABU MUSONDA NA CHAMA KUITWA TIMU YA TAIFA ZAMBIA

MICHEZO Mshambuliaji wa Yanga Sc Kennedy Musonda na Kiungo Clatous Chama wa Simba wameendelea kula shavu la kuwa miongoni mwa wachezaji 24 wa Zambia watakaoshiriki mashindano maalum ya kirafiki yatakayofanyika baadaye mwezi huu huko Malawi baada ya kuitwa na Kocha wao wa Taifa. Kocha wa Zambia, Avram Grant amewaita Chama Musonda kutoka hapa ligi ya… Continue reading SABABU MUSONDA NA CHAMA KUITWA TIMU YA TAIFA ZAMBIA

MFAHAMU KUNDANANJI MCHEZAJI GHALI MWANAMKE DUNIANI

MICHEZO Rachael Kundananji ,Mchezaji mwenye umri wa miaka 23 kutoka Zambia amekuwa mwanasoka ghali zaidi kwa Mwanamke katika historia baada ya kujiunga na Bay Fc ya Marekani akitokea Madrid CFF kwa bilioni 2.18 za Tanzania. Amehamia Marekani baada ya kuhudumu kwa muda wa miezi 18 huko Madrid akifunga jumla ya mabao 33 ya Liga F… Continue reading MFAHAMU KUNDANANJI MCHEZAJI GHALI MWANAMKE DUNIANI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner