MAGAZETI YA LEO 27 MEI 2024

BENFICA NA MIPANGO YA KUMPA JOSE MOURINHO KAZI

MICHEZO Imefahamika kuwa Kocha kutoka nchini Ureno Jose Mourinho anafahamu kila kitu kuhusu mpango wa kuhusishwa na ajira kwenye klabu ya SL Benfica. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Inter Milan anahusishwa na SL Benfica kwa ajili ya msimu ujao 2024/25, kufuatia kocha mkuu wa sasa wa klabu hiyo Roger Schmidt, kuhusishwa na Klabu… Continue reading BENFICA NA MIPANGO YA KUMPA JOSE MOURINHO KAZI

YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

MICHEZO Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans leo Jumanne (Aprili 16) imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya Silver General Investment unatoa fursa kwa mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kukopeshwa simu na kulipa kwa awamu tofauti. “Mwanachama na Shabiki wa Young Africans ambaye anahitaji kukopeshwa simu anapaswa kutoa kiasi cha Tsh 75,000 na… Continue reading YANGA YARAMBA MDHAMINI MPYA SILVER GENERAL INVESTMENT

BAYERN LEVERKUSEN MABINGWA BAADA YA MIAKA 79

MICHEZO Bayer Leverkusen ni Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Ujerumani (Bundesliga) kufuatia ushindi wa 5-0 dhidi ya Werder Bremen katika dimba la nyumbani la BayArena (Leverkusen). Full Time: Bayer Leverkusen 5-0 Werder Bremen⚽ Boniface 25’⚽ Xhaka 60’⚽⚽⚽ Wirtz 68’ 83’ 90’ Bayer Leverkusen imetwaa ubingwa huo ikiwa imeshinda mechi 37 sare 5 baada ya mechi… Continue reading BAYERN LEVERKUSEN MABINGWA BAADA YA MIAKA 79

KAULI YA HARMONIZE KUMFANANISHA MUNGU NA MWANAMKE NI USHETANI

NYOTA WETU Msanii Harmonize ameingia katika mzozo na waumini wa dini ya Kiislamu huku wakimtaka afute mara moja maneno yake alioandika akimfananisha Mwenyezi Mungu na Mwanamke. Kwa mujibu wa kile alichoandika kupitia Insta Story yake leo, Msanii huyo anasema imemchukua miaka 30 kugundua ya kuwa pengine Mungu ni Mwanamke kwa asilimia Kubwa. Mmoja ya waumini… Continue reading KAULI YA HARMONIZE KUMFANANISHA MUNGU NA MWANAMKE NI USHETANI

KILICHOMUONDOA JAMHURI KIHWELO SINGIDA FOUNTAIN GATE HIKI HAPA

MICHEZO Kocha mkuu wa klabu ya Singida Fontaine Gate Fc, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ametupilia mbali taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ametimka klabuni hapo baada kuiongoza kwa mechi mbili tu tangu apewe kibarua cha kuiongoza klabu hiyo kwenye mechi 10 zilizosalia za Ligi. Akizungumza juu ya taarifa hizo Julio amesema hafahamu chochote kuhusu taarifa… Continue reading KILICHOMUONDOA JAMHURI KIHWELO SINGIDA FOUNTAIN GATE HIKI HAPA

AZIZ KI ALAMBA MKATABA MPYA YANGA

TETESI Walichofanya Yanga ni kutocheza na shilingi chooni, wakaamua kutoa mkataba wa muda mrefu kwa Kiungo Mshambuliaji wao, Stephane Aziz Ki ambao utamuweka jangwani kwa miaka mingine mitatu. Taarifa za ndani zinaeleza kuwa Aziz Ki ameshasaini mkataba na Yanga na kilichobakia ni kuweka hadharani juu ya makubaliano hayo. Mkataba wa awali wa Aziz na Yanga… Continue reading AZIZ KI ALAMBA MKATABA MPYA YANGA

MV MALAGARASI YAPATA ITILAFU

HABARI KUU Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limetoa taarifa ya hitilafu ya kivuko cha abiria MV Malagarasi kinachofanya shughuli ya kuvusha abiria na mizigo mto Malagarasi eneo la llagala, Wilayani Uvinza ambapo muda wa saa 10:30 Asubuhi kikiwa kinavusha abiria injini za kivuko hicho zilizima ghafla kupelekea kusombwa na maji na kuzua taharuki kwa… Continue reading MV MALAGARASI YAPATA ITILAFU

GARI LA SHULE YA KEMEBOS LAUA MWANAFUNZI

HABARI KUU Mwanafunzi wa kidato cha tano, Frank Matage kutoka Shule ya Sekondari Kemebos, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera amefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya basi mali ya shule hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Dk Abel Nyamahanga amesema kuwa ajali hiyo imehusisha gari la wanafunzi wa Shule ya Kemibos lenye namba… Continue reading GARI LA SHULE YA KEMEBOS LAUA MWANAFUNZI

MKANGANYIKO WA AJIRA BANDARI YA DAR ES SALAAM KATI YA DP WORLD NA TPA

HABARI KUU Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imewataka watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam wanaotaka kuajiriwa na Kampuni ya DP World kujitokeza kuorodhesha majina kabla ya Machi 29, 2024. TPA imesema katika mchakato wa uwekezaji bandarini hapo, “hakuna mtu yeyote atakayepoteza kazi.” Machi 20, 2024, TPA ilitoa tangazo kwa watumishi wa Bandari… Continue reading MKANGANYIKO WA AJIRA BANDARI YA DAR ES SALAAM KATI YA DP WORLD NA TPA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner