16 TEXTS EVERY MAN WISHES HIS WIFE OR WOMAN WOULD SEND HIM DiscoverCars.com

LOVE ❤

RIHANNA AMPA JAY Z TUZO

MICHEZO Jay-Z ameshinda tuzo yake ya tatu ya Emmy kwa kushinda kipengele cha Mtayarishaji bora wa show ya super Bowl ambayo Mlimbwende Rihanna alitumbuiza mnamo mwezi Februari 2023 . Jumapili ya Januari 7,2023, Bwana Jay-Z alishinda tuzo hiyo kama “Mtayarishaji bora” katika tuzo za ” Emmy Primetime Creative arts 2023″. Onyesho hilo lilishinda aina maalumu,… Continue reading RIHANNA AMPA JAY Z TUZO

MAMBO 4 YANAYOHARIBU MAHUSIANO

MASTORI. Waafrika wana msemo maarufu ” adui wa mtu ni wa nyumbani mwake”. Ni msemo maarufu wenye maana hasa kubwa hata kwenye mahusiano yako. MAMBO MANNE YANAYOHARIBU MAHUSIANO. 1. Kushutumu mtu wako wa karibu kwa lawama,kumpakazia mtu ambacho hajafanya,na hata kutungu uongo juu yake. 2. Kuwa mtu wa kujiona bora na ambaye hutaki kuonekana mwenye… Continue reading MAMBO 4 YANAYOHARIBU MAHUSIANO

MUME WA RIHANNA AFUNGUKA JUU YA MKE WAKE

NYOTA WETU. ASAP ROCKY hakuacha tabasamu lake lififie alipokuwa akijadili uwezekano wa kusikika kolabo yake na mama wa watoto wake Rihanna .Alikuwa na jibu la kufurahisha alipoulizwa juu ya kolabo yao ingekuwa. Raba huyo wa “Fashion Killa” alisema “Ikiwa mimi na Mwanamke wangu tungeshirikiana ,Tungeshirikiana?Nadhani tunafanya kazi nzuri sana katika kushirikiana kutengeneza watoto.Baada ya kicheko… Continue reading MUME WA RIHANNA AFUNGUKA JUU YA MKE WAKE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner