MFAHAMU ABRAHAM MGOWANO MTANZANIA ALIYEFARIKI AKIWA GOOGLE

HABARI KUU Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka toka kwenye Boti (Yacht) Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024 akiwa na wenzake 12 pamoja na Kapteni wa Boti hiyo. Polisi… Continue reading MFAHAMU ABRAHAM MGOWANO MTANZANIA ALIYEFARIKI AKIWA GOOGLE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner