MESSI NA RONALDO KUKUTANA UWANJANI

MICHEZO Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kukutana tena February mwakani ambapo Al-Nassr na Inter Miami watachuana kuwania kombe la Riyadh ( Riyadh season Cup). Inaitwa ” The last Dance” ambapo watacheza mchezo wao huko Riyadh, Saudia Arabia baada ya Inter Miami kukubali kucheza dhidi ya Al-Nassr katika kombe la Riyadh season lililoundwa hivi karibuni.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner