WANAODHANIWA KUTAKA KUMUUA MBUNGE CHRISTOPHER OLE-SENDEKA

HABARI KUU Watu wasiojulikana wamemfyatulia risasi zisizopungua nne Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole-Sendeka akiwa ndani ya gari lake safarini na Dereva wake majira ya saa moja leo usiku na kisha kukimbia muda mfupi baada ya Mbunge huyo kuanza kupiga risasi juu kuwatishia. Akiongea kwa njia ya simu, Sendeka amesema “Ni kweli nimeshambuliwa kwa… Continue reading WANAODHANIWA KUTAKA KUMUUA MBUNGE CHRISTOPHER OLE-SENDEKA

ASILI YA MAJINA YA MIEZI 12 YA MWAKA

MAKALA Kila kitu hapa duniani kina ASILI yake inayoelezea safari ya kilipotoka mpaka pale kilipo.Wewe na mimi pia tuna asili zetu.Hakuna kisichokuwa na asili. Hata haya majina ya miezi 12 ya mwaka, yaani Januari hadi Decemba yana asili yake. Niseme tu kwamba Astrology au Elimu ya Nyota ndiyo elimu inayotawala mambo mengi katika hii dunia.Chimbuko… Continue reading ASILI YA MAJINA YA MIEZI 12 YA MWAKA

YANGA YATINGA KIBABE MAKUNDI AFRIKA

Magazeti Karibu Mtanzania kwenye mbao za magazeti ya hivi leo,ambapo habari zilizotokea mara nyingi kwenye magazeti haya ni pamoja na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kukipa chuo cha Diplomasia jina la aliyewahi kuwa naibu katibu mkuu wa UN. Habari nyingine ni kuhusu Papa Francis kumsimika aliyekuwa Askofu Msaidizi Jimbo kuu la Tabora ,Protas Kadinali… Continue reading YANGA YATINGA KIBABE MAKUNDI AFRIKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner