JOAN LAPORTA ANAMTAKA XAVI HERNANDEZ KUENDELEA KUWA KOCHA WA FC BARCELONA

MICHEZO Rais wa FC Barcelona, Joan Laporta amesisitiza kwamba anataka Xavi Hernandez abaki kama kocha wa klabu hiyo baada ya msimu wa 2023/24. Xavi alitangaza nia yake ya kuondoka Barca mwishoni mwa msimu wa 2023/24 miezi michache iliyopita kutokana na hali mbaya iliyowafanya kupoteza mechi mbili za EL Clasico na kujiondoa katika mbio za ubingwa… Continue reading JOAN LAPORTA ANAMTAKA XAVI HERNANDEZ KUENDELEA KUWA KOCHA WA FC BARCELONA

BASSIROU DIOMAYE FAYE MBIONI KUWA RAIS MPYA WA SENEGAL

NYOTA WETU Kiongozi wa upinzani Bassirou Diomaye Faye ameibuka kuwa anayepewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa urais nchini Senegal, baada ya wapinzani kadhaa kukubali kushindwa. Mamilioni ya watu walishiriki katika upigaji kura siku ya Jumapili, kufuatia miaka mitatu ya misukosuko na maandamano ya upinzani dhidi ya Rais aliyemaliza muda wake, Macky Sall. Wapiga kura… Continue reading BASSIROU DIOMAYE FAYE MBIONI KUWA RAIS MPYA WA SENEGAL

ISLAMIC STATE YAHUSIKA KWENYE VIFO VYA WATU 115 URUSI

HABARI KUU Idadi ya watu waliokufa kwenye shambulizi la la silaha lililodaiwa kufanywa na wapiganaji wa Islamic State, lililotokea usiku wa kuamkia leo Machi 23, 2024 nchini Urusi, imefikia watu 115 wakiwemo watoto watatu, huku wengine zaidi ya 139 wakijeruhiwa. Inadaiwa kuwa washambuliaji waliingia kwenye Ukumbi wa Crocus uliopo Krasnogorsk kaskazini-magharibi mwa jiji la Moscow,… Continue reading ISLAMIC STATE YAHUSIKA KWENYE VIFO VYA WATU 115 URUSI

WANAOTAJWA KUHUSIKA NA SHAMBULIZI LA KIGAIDI NCHINI URUSI

HABARI KUU Ukumbi wa Jiji la Crocus huko Krasnogorsk, kitongoji kilicho kaskazini-magharibi mwa Moscow, unajulikana kwa uenyeji wa maelfu ya watu na kupokea wasanii wengi wa Kimataifa. Video katika mitandao ya kijamii ilionesha watu kadhaa waliokuwa na silaha wakiingia ndani ya ukumbi huo kabla ya kufyatua risasi na kusababisha watu 60 kufariki na wengine zaidi… Continue reading WANAOTAJWA KUHUSIKA NA SHAMBULIZI LA KIGAIDI NCHINI URUSI

URUSI YAPITISHA SHERIA KUWAUA WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA

HABARI KUU Wizara ya sheria ya Urusi imewasilisha ombi kwa Mahakama kuu ya nchi hiyo kupiga marufuku shughuli za kile kinachoitwa “vuguvugu la kimataifa la LGBTQ ” Kama lenye itikadi kali. Haiko wazi kama taarifa ya Wizara inarejelea jumuiya LGBTQ kwa ujumla au Mashirika ya umma. Ilisema vuguvugu hilo limeonyesha dalili za “shughuli zenye itikadi… Continue reading URUSI YAPITISHA SHERIA KUWAUA WANAOJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner