(Click on the star on form card to select)
Tume ya Haki Za Binadamu Yamsafirisha PAULINE GEKUL Dhidi ya Udhalilishaji
Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imebaini kuwa, madai ya Mbunge wa Babati (CCM), Pauline Gekul na wenzake kudaiwa kuwafanyia vitendo vya ukatili na udhalilishaji…