(Click on the star on form card to select)
Usajili wa Chama Yanga wamuibua Molinga
Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesema kuwa uamuzi alioufanya kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama wa kutimkia Yanga ni uamuzi sahihi kwa sasa kwani utamfanya kurejesha makali yake…