WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE ILI KUDHIBITI UHALIFU
Mheshimiwa Anthony Mtaka leo Julai 23,2024 ameungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya Godfrey Ndambo ambaye alikuwa wakala wa huduma za kifedha mkoani Njombe aliyekutwa na umauti alikokuwa akipatiwa…