(Click on the star on form card to select)
UMEZALISHWA, UKATELEKEZWA. SASA UNAITWA SINGLE MOTHER. FANYA HAYA:
Kwèñye Maisha mambo meñgi usiyoyatarajia Wala kuyajua huweza kukutokea. Hata usiamini kwamba kweli yamekutokea. Wala usijali. Hayo ndîo Maisha. Ikiwa ikatokea umezalishwa kibahati mbaya, au kimakusudi ukaamua kubeba Mimba, au…