MAGAZETI YA LEO 27 MEI 2024

KIKWETE NA MUSEVENI WATETA

HABARI KUU Rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtembelea Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, Ikulu ya Entebbe ambapo wawili hao wamejadili kuhusu fursa za soko la umoja la Afrika Mashariki. Museveni alimkaribisha Dkt. Kikwete na kumueleza kuwa kama viongozi hawana budi kutatua tatizo la soko hilo ili… Continue reading KIKWETE NA MUSEVENI WATETA

UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

NYOTA WETU … 🧠 𝗔𝗨 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗘𝗟𝗘𝗪𝗜 ? Nimewasikia wachambuzi kadhaa wakisema Simba SC imebakiza points (4) imfikie kinara wa ligi Yanga SC.. Nilidhani labda ni kupitiwa. Baada ya kauli ya Ahmed Ally ndipo nikagundua sio kupitiwa, labda mimi pekee ndio nina msimamo tofauti wa ligi. 1. 👕 20 ⚽ +38 🅿️ 52 —… Continue reading UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

NYOTA WETU … 🧠 𝗔𝗨 𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗡𝗗𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗘𝗟𝗘𝗪𝗜 ? Nimewasikia wachambuzi kadhaa wakisema Simba SC imebakiza points (4) imfikie kinara wa ligi Yanga SC.. Nilidhani labda ni kupitiwa. Baada ya kauli ya Ahmed Ally ndipo nikagundua sio kupitiwa, labda mimi pekee ndio nina msimamo tofauti wa ligi. 1. 👕 20 ⚽ +38 🅿️ 52 —… Continue reading UJUMBE WA MSEMAJI WA SIMBA AHMED ALLY HUU HAPA

16 TEXTS EVERY MAN WISHES HIS WIFE OR WOMAN WOULD SEND HIM DiscoverCars.com

LOVE ❤

JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WAENDESHA VYOMBO VYA MOTO

HABARI KUU Madereva na wamiliki wa vyombo vya moto mkoani Songwe wametakiwa kuendelea kufuata sheria za usalama barabarani ili kujiepusha na ajali zinazoweza kuepukika kuelekea kipindi cha sikukuu ya Pasaka. Rai hiyo imetolewa na Polisi Kata ya Ipunga Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eletisia Mtweve Machi 26, 2024 wakati alipokua anatoa elimu juu ya thamani ya… Continue reading JESHI LA POLISI LATOA ONYO KALI KWA WAENDESHA VYOMBO VYA MOTO

MWANAMZIKI CHEMICAL AFUNGUKA MAISHA YAKE YALIVYO AKIWA MASOMONI

NYOTA WETU Chemical afunguka jinsi alivyokuwa star chuo alichosoma Prince Harry Rapa msomi Chemical_tz amefunguka mengi akiwa nchini Scotland ambapo anasoma mwaka wa tatu akichukua PHD chuo cha Schools of Earth and Environmental Sciences, Geography and Sustainability, and Music uniofstandrews . Chemical amedai Mungu akimjalia bado mwaka mmoja ahitimu ambapo pia ameeleza maisha yake jinsi… Continue reading MWANAMZIKI CHEMICAL AFUNGUKA MAISHA YAKE YALIVYO AKIWA MASOMONI

MFAHAMU DOROTHY SEMU MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO

HABARI KUU Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Doroth Semu amechaguliwa kuwa Kiongozi wa Chama hicho akichukua nafasi ya muasisi wa chama hicho, Zitto Kabwe aliyemaliza muda wake. Semu ameshinda kwa Kura 534 sawa na 65.7% zilizopigwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama ambapo alikuwa akiwania nafasi hiyo na Mbarala Maharagande… Continue reading MFAHAMU DOROTHY SEMU MWENYEKITI WA ACT WAZALENDO

MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

HABARI KUU Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki, Mhe. January Makamba amekanusha taarifa zilizosambaa kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa mara ya kwanza imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Mhe. Makamba amesema “Hizi taarifa si za kweli.”… Continue reading MAKAMBA AKANUSHA UWEPO WA NOTI YA FEDHA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

WAMILIKI WA HOSPITALI ZA BINAFSI NA SERIKALI WAKUBALIANA

HABARI KUU Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya vya Binafsi APHFTA na Jumuiya ya Wamiliki Hospitali Binafsi Zanzibar ZAPHOA, umefikia uamuzi wa kurejea kwenye meza ya mazungumzo na Serikali sambamba na kurejesha huduma za Afya zilizositishwa kwa Wanachama wa NHIF wakati mazungumzo na Serikali yakiendelea. Taarifa ya APHFTA kupitia kwa Mwenyekiti wake… Continue reading WAMILIKI WA HOSPITALI ZA BINAFSI NA SERIKALI WAKUBALIANA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner