EMMERSON MNANGAGWA APIGWA VIKWAZO NA MAREKANIimg

HABARI KUU Marekani imewawekea vikwazo watu tisa 9 nchini Zimbabwe akiwemo Rais wa nchi hiyo, Emmerson Mnangagwa, mke wake, Auxillia Mnangagwa, Makamu wa Rais, Constantino Chiwenga, Waziri wa Ulinzi, Mkuu wa Upelelezi wa Zimbabwe na Patrick Chinamasa Mweka Hazina wa chama cha kisiasa cha Zanu PF. Pia Marekani imeyawekea vikwazo Makampuni matatu ya kibiashara ya… Continue reading EMMERSON MNANGAGWA APIGWA VIKWAZO NA MAREKANIimg

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner