BASSIROU DIOMAYE FAYE AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA SENEGAL

NYOTA WETU Mwanasiasa wa mrengo wa kushoto, Bassirou Diomaye Faye, ameapishwa hii leo kuwa rais wa tano wa Senegal na kuahidi mabadiliko ya kimfumo, uhuru na utulivu baada ya miaka kadhaa ya machafuko. Sherehe za kuapishwa kwake zimefanyika katika mji mpya wa Diamniadio, karibu na mji mkuu Dakar. Faye mwenye umri wa miaka 44, ambaye… Continue reading BASSIROU DIOMAYE FAYE AAPISHWA RASMI KUWA RAIS WA SENEGAL

MERCY CHINWO AND HUSBAND REVEAL THEIR SON’S FACE

OUR STAR 🌟 Renowned Nigerian gospel singer, Mercy Chinwo and her husband, Pastor Blessed Uzochikwa, officially reveal their son’s face. Mercy Chinwo shared delightful family pictures of her husband and their charming son on her Instagram page barely months following his birth, expressing heartfelt gratitude to God. The photos seem to have been taken during… Continue reading MERCY CHINWO AND HUSBAND REVEAL THEIR SON’S FACE

MACKY SALL AMPONGEZA BASSIROU DIOMAYE FAYE KUSHINDA URAIS

HABARI KUU Rais wa Senegal anayemaliza muda wake, Macky Sall amempongeza mgombea wa upinzani, Bassirou Diomaye Faye kwa ushindi alioupata huku mshindani wake wa karibu, Amadou Ba akikubali kushindwa katika uchaguzi huo. Baada ya mgombea huyo wa chama tawala, Amadou Ba kutambua ushindi wa Faye katika duru ya kwanza na kutoa pongezi zake, Sall, ambaye… Continue reading MACKY SALL AMPONGEZA BASSIROU DIOMAYE FAYE KUSHINDA URAIS

BASSIROU DIOMAYE FAYE MBIONI KUWA RAIS MPYA WA SENEGAL

NYOTA WETU Kiongozi wa upinzani Bassirou Diomaye Faye ameibuka kuwa anayepewa nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi wa urais nchini Senegal, baada ya wapinzani kadhaa kukubali kushindwa. Mamilioni ya watu walishiriki katika upigaji kura siku ya Jumapili, kufuatia miaka mitatu ya misukosuko na maandamano ya upinzani dhidi ya Rais aliyemaliza muda wake, Macky Sall. Wapiga kura… Continue reading BASSIROU DIOMAYE FAYE MBIONI KUWA RAIS MPYA WA SENEGAL

ANAYETEGEMEWA KUSHINDA UCHAGUZI WA SENEGAL LEO

HABARI KUU Raia wa Senegal leo March 24,2024 wanapiga kura kumchagua Rais wa Nchi hiyo. Kura za Uchaguzi Mkuu utakaoamua muelekeo mpya wa Taifa hilo zinatarajiwa kupigwa leo ambapo Wagombea 19 wanawania nafasi ya Urais kwa lengo la kumrithi Rais Macky Sall atakayemaliza utawala wa miaka 12 ifikapo Aprili 2, 2024 Taarifa kutoka Senegal zinaeleza… Continue reading ANAYETEGEMEWA KUSHINDA UCHAGUZI WA SENEGAL LEO

ALIOU CISSÉ KOCHA MKUU SENEGAL 2026

MICHEZO Kocha wa timu ya Taifa ya kandanda ya Senegal, Aliou Cissé, ameteuliwa tena kuwa Kocha Mkuu hadi mwaka wa 2026, lilitangaza Shirikisho la soka la Senegal (FSF) katika video iliyochapishwa Ijumaa Machi 8. Kamati ya utendaji imeonyesha imani tena kwa kocha Aliou Cissé na inamtaka aendelee na kazi yake, malengo ikiwa ni kufuzu kwa… Continue reading ALIOU CISSÉ KOCHA MKUU SENEGAL 2026

MACKY SALLY ATANGAZA SIKU YA UCHAGUZI SENEGAL

NYOTA WETU Rais wa Senegal Macky Sally amechukua hatua ya Uchaguzi Mkuu wa Urais kufanyika Machi 24,2024 ikiwa ni baada ya siku za hivi karibuni Mahakama ya kikatiba kutupilia mbali kuahirishwa kwa tarehe iliyokuwa imepangwa awali. Muhula wa Macky Sall utamalizika Aprili 2 mwaka huu baada ya kuomba uchaguzi kusogezwa mbele hadi mwezi Juni badala… Continue reading MACKY SALLY ATANGAZA SIKU YA UCHAGUZI SENEGAL

MACKY SALL KUONDOKA MADARAKANI

HABARI KUU Rais wa Senegal, Macky Sall, amesema ataondoka madarakani wakati muhula wake utakapotamatika April 2 mwaka huu, hata hivyo akashindwa kutaja tarehe nyingine ya kufanya uchaguzi. Kauli yake hata hivyo imepokelewa kwa mshangao na wadau wa uchaguzi waliohoji kwanini hajatangaza tarehe nyingine baada ya kuahirisha uchaguzi uliokuwa ufanyike Jumapili ya wiki hii. Tayari wanasiasa… Continue reading MACKY SALL KUONDOKA MADARAKANI

RWANDA KUFANYA UCHAGUZI MKUU JULAI

HABARI KUU Tume Huru ya Uchaguzi nchini Rwanda (NEC), imetangaza kuwa Uchaguzi wa Urais na ule wa Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 huku kwa waliopo nje ya nchi wakitarajia kupiga kura tarehe 14 Julai. Utaratibu wa Uchaguzi wa Urais na wabunge takribani 53 ambao wanaunda Bunge la Rwanda hufanyika kutokana na majina ambayo yanakuwa… Continue reading RWANDA KUFANYA UCHAGUZI MKUU JULAI

ROSE WARDINI AJIONDOA KUGOMBEA URAIS WA SENEGAL

HABARI KUU Senegal bado ipo katika hali ya sintofahamu baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Rais uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 25,2024. Katika hali isiyotegemewa Rose Wardini, aliyekuwa miongoni mwa wagombea 20 amejiondoa kwenye kinyang’anyiro hicho cha Urais uliosogezwa hadi Desemba 2024. Kwa upande wa wagombea 15 walioidhinishwa kwa Uchaguzi wa urais wanataka Uchaguzi kufanyika kabla… Continue reading ROSE WARDINI AJIONDOA KUGOMBEA URAIS WA SENEGAL

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner