MWENYE SEHEMU ZA SIRI MBILI AONDOLEWA UKE

HABARI KUU Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke imefanyia upasuaji wa kutoa viungo vya uzazi vya kike (uke) kutoka kwenye korodani ya mgonjwa wa jinsia mbili mwenye mwonekano wa jinsia ya kiume ikiwa ni mara ya kwanza upasuaji huo kufanyika katika hospitali za rufaa zilizopo Tanzania. Upasuaji huo umefanywa na jopo la Madaktari kutoka… Continue reading MWENYE SEHEMU ZA SIRI MBILI AONDOLEWA UKE

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner