SIMBU ASHINDA TUZO CHINA

NYOTA WETU. Mwanariadha wa Tanzania ,Alphonce Simbu ameshika nafasi ya pili kwenye mashindano ya Shanghai Marathon 2023 huku Jackline Sakilu akishika nafasi ya nne kwenye mashindano hayo. Kwa ushindi huo basi sasa ni rasmi Alphonce Simbu na Jackline Sakilu wamejipatia tiketi kwaajili ya mashindano ya Olympic 2024 na kuungana na Watanzania wenzao ,Gabriel Geay na… Continue reading SIMBU ASHINDA TUZO CHINA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner