MICHELLE OBAMA AMPONGEZA BEYONCE KWA HILI

NYOTA WETU Mke wa Rais mstaafu wa Marekani Barack Obama,Michelle Obama ameshindwa kujizuia na kumpa maua yake mwanamuziki Beyonce kwa kuvunja rekodina kuweka historia na kubadilisha muziki kupitia Album yake mpya ya Cowboy Carter. Kwenye ukurasa wake wa X Michelle ameandika kuwa, “Beyonce wewe ni mvun ja rekodi na muweka historia. Ukiwa na Cowboy Carter,umebadilisha… Continue reading MICHELLE OBAMA AMPONGEZA BEYONCE KWA HILI

RUBEN AMORIM AKANA UVUMI WA KUJIUNGA NA LIVERPOOL

MICHEZO Kocha Mkuu wa Sporting CP, Ruben Amorim, amepuuzilia mbali uvumi kuhusu hatma yake na kusema kwamba kushinda mataji msimu huu katika klabu hiyo ya Ureno ndicho kipaumbele chake kikuu. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 39, amekuwa akihusishwa na kuchukua jukumu la kuinoa Liverpool, huku Jurgen Klopp akitarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Uvumi… Continue reading RUBEN AMORIM AKANA UVUMI WA KUJIUNGA NA LIVERPOOL

KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOWASILI CAIRO MISRI USIPIME

MICHEZO Kikosi cha Simba SC kimewasili salama mjini Cairo, Misri tayari kwa mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Mabingwa watetezi Al Ahly. Simba SC itacheza mchezo huo keshokutwa Ijumaa (Aprili 05) katika Uwanja wa Kimataifa wa Cairo, ikiwa na deni la kulipa bao 1-0, baada ya… Continue reading KIKOSI CHA SIMBA KILIVYOWASILI CAIRO MISRI USIPIME

ALEXANDER ISAK HAUZWI KOCHA EDDIE HOWE

MICHEZO Kocha Mkuu wa Newcastle United, Eddie Howe amesema klabu hiyo haina nia ya kusikiliza ofa ya kumuuza Mshambuliaji wake, Alexander lsak katika dirisha kubwa msimu ujao. Mshambuliaji huyo raia wa Sweden, alitua Newcastle United mwaka juzi kwa pauni milioni 63 na kuonyesha makali katika michuano mbalimbali. Pamoja na kukosa baadhi ya michezo kutokana na… Continue reading ALEXANDER ISAK HAUZWI KOCHA EDDIE HOWE

SABABU ZA KIFO CHA KOCHA WA SIMBA

MICHEZO Polisi nchini Rwanda wameanza uchunguzi wa kifo cha ghafla kocha wa viungo wa klabu ya APR Adel Zrane raia wa Tunisia. Kocha huyo amefariki Dunia akiwa nyumbani kwake mchana wa awali ambapo kwamujibu zilizotolewa na klabu yake ni kuwa hakuwa na dalili zozote za kuumwa na mchana wa leo alipaswa kushiriki ratiba ya mazoezi… Continue reading SABABU ZA KIFO CHA KOCHA WA SIMBA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner