SIMBA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

MICHEZO Timu ya Simba ipo kwenye vilabu 12 vitakavyofuzu kushiriki michuano ya kombe la Dunia la vilabu. Orodha ya vilabu imetangazwa jana Desemba 24,2023 huku Simba ikibebwa na wingi wa pointi ilizozikusanya katika ushiriki wa mashindano ya mara kwa mara na mpaka sasa nafasi iliopo kwenye michuano ya sasa ya CAF. ORODHA YA TIMU 12… Continue reading SIMBA KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

SIMBA YAFUNGULIWA KUSAJILI

MICHEZO Shirikisho la mpira wa miguu ( FIFA ) limeiondolea klabu ya Simba adhabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya kuilipa klabu ya Teungueth ya Senegal. Awali FIFA iliwafungia wekundu wa Msimbazi baada ya kushindwa kuilipa Teungueth kutokana na mauzo ya Sakho kufuatia wababe hao wa Senegal kufungua kesi FIFA ikidai malipo kutokana na malipo… Continue reading SIMBA YAFUNGULIWA KUSAJILI

YANGA KUGAWA SUPU JUMAPILI

MICHEZO Msemaji wa Yanga sc, Ally Shaban Kamwe amewaomba mashabiki wa klabu hiyo, siku ya jumapili asubuhi kila mmoja abebe chapati zake,maandazi,vitumbua aje navyo pale jangwani kwani supu itagawiwa bure. “Jumapili kila mwana Yanga aje na vitumbua vyake,maandazi pamoja chapati yake ,supu tunatoa free na siku hiyo asubuhi wakati supu inapikwa kutakuwa na matembezi kidogo… Continue reading YANGA KUGAWA SUPU JUMAPILI

MECHI YA SIMBA NA AL AHLY HAINA GOLI LA UGENINI

MICHEZO Kuelekea michezo ya hatua ya robo fainali ya kombe la Afrika (AFL) kesho kati ya Simba na Al Ahly, katika dimba la Cairo ,imebainika sasa kuwa goli la ugenini halina maana tena. Wawili hao walipepetana na kutoka sare ya mabao 2-2 katika dimba la Kumbukumbu ya Benjamin Mkapa jiji Dar es salaam jambo ambalo… Continue reading MECHI YA SIMBA NA AL AHLY HAINA GOLI LA UGENINI

ROBERTINHO KWANINI AFUKUZWE? banner

Michezo Tangu jana nimekuwa nikifatilia mijadala sana inayojiri kwenye mitandao ya kijamii, licha ya Simba kufuzu kwenye hatua ya Makundi ya klabu bingwa Afrika lakini mashabiki wanalalamika wakitaka kocha Oliver Robertinho afungashiwe virago. Kwanini kocha ROBERTINHO afukuzwe? Simba imefuzu hatua ya Makundi ya klabu bingwa Afrika, hawangalii katika timu 16 zilizofuzu hatua ya Makundi msimu… Continue reading ROBERTINHO KWANINI AFUKUZWE? banner

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner