RULES TO PROTECT YOUR INNER PEACE

LOVE ❤

KWANINI VICTOR OSIMHEN AFUNGIWA KUCHEZA KANDANDA?

MICHEZO Shirikisho la soka la Nigeria limekanusha kuhusu machapisho ya mtandaoni siku ya Jumatano kwamba Bodi inayosimamia Kandanda imempiga marufuku mshambuliaji wa Super Eagles, Victor Osimhen katika timu hiyo kutokana na kulikosoa shirikisho kwenye mitandao ya kijamii siku chache zilizopita. Katibu mkuu wa NFF, Dkt. Mohammed Sanusi alieleza kushangazwa na taarifa hizo, akisema shirikisho hilo… Continue reading KWANINI VICTOR OSIMHEN AFUNGIWA KUCHEZA KANDANDA?

Comedian Kiekie marked her birthday with an eye-catching outfit and shared heartfelt messages in photos on social media.

Kiekie, the Nigerian comedian and content creator, celebrated her birthday in style yesterday, 20th June 2024. She made sure to leave a lasting impression on her followers with her impeccable fashion sense. She dazzled her online followers with her impeccable fashion sense, showcasing her beauty in a vibrant yellow two-piece ensemble. The images she posted… Continue reading Comedian Kiekie marked her birthday with an eye-catching outfit and shared heartfelt messages in photos on social media.

KWANINI RWANDA IPO TAYARI KUINGIA VITANI NA DR CONGO?

Katika mahojiano maalum na FRANCE 24, Rais wa Rwanda Paul Kagame amezungumzia uhusiano uliopo kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akibainisha kuwa nchi yake iko tayari kuingia vitani na jirani yake ambaye ni DR Congo. Katika kujibu shutuma za hivi hivi karibuni kutoka kwa mwenzake wa Congo, Félix Tshisekedi, ambaye kulingana… Continue reading KWANINI RWANDA IPO TAYARI KUINGIA VITANI NA DR CONGO?

MFAHAMU MKE WA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA

Jana, Rais Cyril Ramaphosa aliapishwa kuendelea kuongoza Taifa la Afrika Kusini kwa kipindi kingine cha miaka mitano huku mwenza wake, Tshepo Motsepe akiwa mwenye furaha kubwa katika sherehe zilizoshuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Tshepo Motsepe ni nani? Mwanamke huyu aliyezaliwa Juni 17, 1953 ni tabibu (physician) na mfanyabiashara. Yeye ni dada mkubwa wa Bridgette… Continue reading MFAHAMU MKE WA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA

SOME OF THE DARKEST SIDES OF WOMEN YOU DON’T KNOW

A woman who loves you, smells everything that touches you including your clothes. And, again, shyness and tears are not a valid effects to determine if she’s a good woman, because a woman can fake it like a boss. They are capable of doing that. When you cheat on her and she doesn’t hate you,… Continue reading SOME OF THE DARKEST SIDES OF WOMEN YOU DON’T KNOW

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO IIJUMAA 21/06/2024

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

KIPI KINASABABISHA MVURUGIKO WA SIKU ZA HEDHI KWA WANAWAKE?

AFYA 🌟 Kuelewa Mvurugiko wa Siku za Hedhi kwa Wasichana 🌟 Hizi hapa ni baadhi ya sababu zinazoweza kupelekea mvurugiko wa siku za hedhi: 💠 Umri: Wanawake wenye umri wa miaka 40 na kuendelea wapo kwenye hatari ya kuwa na mvurugiko wa siku za hedhi kutokana na upungufu wa ufanyaji kazi wa ovari katika kuzalisha… Continue reading KIPI KINASABABISHA MVURUGIKO WA SIKU ZA HEDHI KWA WANAWAKE?

WHAT WOMEN WANT AFTER SEX

When men want sex, they can say and do the right things; but how he feels about her is revealed after the sex. Many women get great sex yet feel unloved by the man they are building a future with, many wives feel used by their husbands. Some men start the sex well, get the… Continue reading WHAT WOMEN WANT AFTER SEX

WHY MEN ARE CALLED “GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?…

Why is the newly wedded man called groom and the woman called bride? A friend of mine got tired of his wife just about six months after wedding. He complained bitterly to me about her and told me that he has concluded to break up with her; he went on to say that he was… Continue reading WHY MEN ARE CALLED “GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?…

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner