P DIDDY ASHITAKIWA KWA MAKOSA YA UNYANYASAJI

MICHEZO Msanii wa Marekani Sean Combs, maarufu kama P Diddy ameshtakiwa na mtayarishaji wa muziki ambaye anamtuhumu kwa kumshambulia kijinsia na kumlazimisha kufanya ngono na makahaba. Mtayarishaji huyo, Rodney “Lil Rod” Jones ametuhumu kuwa alikuwa muathirika wa kutomaswa bila ridhaa wakati akifanya kazi ya utayarishaji wa albam mpya ya Diddy. Haya ni mashtaka ya tano… Continue reading P DIDDY ASHITAKIWA KWA MAKOSA YA UNYANYASAJI

MSANII WA VICHEKESHO SMOTHER AFARIKI

NYOTA WETU Msanii nguli wa vichekesho, Tom Smothers ambaye ni sehemu ya wachekeshaji nguli wa kundi la “Smokers Brothers ” amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 86 baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani. TOM SMOTHERS Taarifa za msiba huo zimejiri kutoka kwa kaka yake , Dicky Smothers (84) ambaye amesema ndugu yake huyo… Continue reading MSANII WA VICHEKESHO SMOTHER AFARIKI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner