NYUMBA YA P DIDDY YAGEUKA KIVUTIO CHA WATALII

NYOTA WETU Nyumba ya kifahari ya mwanamuziki mashuhuri wa Marekani, Sean Combs maarufu P. Diddy iliyoko Los Angeles imekuwa kivutio kikubwa wiki hii cha watu kufurika kuitazama na kupiga picha. Hatua hiyo imekuja siku chache baada kasri lake hilo kuvamiwa na mawakala wa Usalama wa Homeland Security Investigations (HSI) na kisha kupekuliwa, hali iliyoacha maswali… Continue reading NYUMBA YA P DIDDY YAGEUKA KIVUTIO CHA WATALII

SNOOPDOG ATANGAZA KUACHA KUVUTA BANGI

NYOTA WETU. Nguli na rapa kutoka nchini Marekani, Snoopdog ameandika kwenye mtandao wake kuhusu kuacha kuvuta. “Baada ya muda mrefu wa tafakuri na majadiliano na familia yangu ,nimeamua kuacha kuvuta. Chonde heshimuni faragha yangu. Amemaliza hivyo Snoopdog. Mkongwe huyo aliezaliwa Oktoba 20,1971 alianza kutamba mwaka 1992 baada ya kushiriki kwenye lebo ya Dr. Dre baada… Continue reading SNOOPDOG ATANGAZA KUACHA KUVUTA BANGI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner