SPIKA NOSIVIWE MAPISA NQAKULA KUSHTAKIWA KWA RUSHWA

HABARI KUU Waendesha mashtaka nchini Afrika Kusini wamesema wanayo nia ya kumshtaki Spika wa Bunge Bi.Nosiviwe Mapisa-Nqakula kwa makosa ya rushwa. Wiki iliyopita, nyumba ya Spika huyo iliyopo jijini Johannesburg ilivamiwa na maafisa wa usalama kwa ajili ya upekuzi ambapo ushahidi ulikamatwa. Waendesha Mashtaka wameeleza kuwa Mapisa-Nqakula (67) alipokea malipo 11 yakiwa na jumla ya… Continue reading SPIKA NOSIVIWE MAPISA NQAKULA KUSHTAKIWA KWA RUSHWA

WATU SITA WAKAMATWA MAUAJI YA RAPA A.K.A

MICHEZO Jeshi la Polisi Afrika Kusini limekamata watuhumiwa sita wa mauaji ya rapper Kiernan “AKA” Forbes, aliyeuawa kwa kupigwa risasi nje ya mgahawa huko Durban, Februari 10, 2023. Watuhumiwa wawili walikuwa na bunduki, wawili walipanga njama ya mauaji, na wengine wameshikwa nchini jirani ya Eswatini. Polisi, pamoja na Interpol na Eswatini, wanafanya kazi kuwarejesha watuhumiwa… Continue reading WATU SITA WAKAMATWA MAUAJI YA RAPA A.K.A

VICTOR OSIMHEN KUIKABILI AFRIKA KUSINI

MICHEZO Victor Osimhen amethibitishwa kuwa yuko fiti na huenda akaanza kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Afrika Kusini mnamo siku ya jumatano ya Februari 7,2024. Mshambuliaji huyo nyota wa Super Eagles, Victor Osimhen, ameshawasili kwenye jiji la Bouakê ,Côte d’ivoire na kujiunga na timu ya super Eagles katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa… Continue reading VICTOR OSIMHEN KUIKABILI AFRIKA KUSINI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner