MASON GREENWOOD NA MANCHESTER UNITED MAMBO NI SAFI

MICHEZO Mastaa wa Manchester United wameripotiwa kufungua milango kwa mchezaji mwenzao, Mason Greenwood kurudi kuichezea timu hiyo ya Old Trafford. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 22, alikuwa na hofu huenda maisha yake ya kuichezea Man United yamefika mwisho baada ya kutolewa kwa mkopo huko Getafe ya Hispania, kutokana na sakata lake la kesi ya… Continue reading MASON GREENWOOD NA MANCHESTER UNITED MAMBO NI SAFI

JAVIER TEBAS ATAKA MASON GREENWOOD KUSALIA LALIGA

MICHEZO Rais wa Ligi Kuu ya Hispania ‘La Liga’ Javier Tebas anataka Mshambuliaji wa Manchester United, Mason Greenwood abaki nchini humo mara baada ya mkopo wake wa msimu mzima katika klabu ya Getafe utakapomalizika. Greenwood mwenye umri wa miaka 22, alijiunga na kikosi cha Madrid akitokea United Septemba mwaka jana baada ya mshambuliaji huyo wa… Continue reading JAVIER TEBAS ATAKA MASON GREENWOOD KUSALIA LALIGA

JEZI YA GREENWOOD YAVUNJA REKODI YA MAUZO

Nyota wetu Imeripotiwa kuwa jezi ya mchezaji mpya wa klabu ya Getafe ,Mason Greenwood, imevunja rekodi ya mauzo kwenye historia ya klabu hiyo ,kwa kuwa jezi iliyouzwa zaidi ndani ya wiki moja tangu kuwasili kwake klabuni hapo. Mason Greenwood alijiunga na Getafe kwa mkopo akitokea Manchester united, baada ya kuwa na sintofahamu juu ya mustakabali… Continue reading JEZI YA GREENWOOD YAVUNJA REKODI YA MAUZO

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner