SVEN BOTMAN APATA MAJERAHA YA GOTI

MICHEZO Beki wa Newcastle United, Sven Botman anatarajia kukaa nje ya dimba kwa kipindi cha miezi nane kufuatia kupata majeraha ya goti. Raia huyo wa Uholanzi, alipata majeraha mwishoni mwa juma lililopita katika mchezo wa Kombe la FA kati ya timu yake dhidi ya Manchester City na baadaye kulazimika kutolewa nje. Beki huyo wa kati… Continue reading SVEN BOTMAN APATA MAJERAHA YA GOTI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner