KINANA NA KIKWETE WAGUSWA SUALA LA BANDARI

Dar es salaam Kupitia kwa Wakili Eric S Ng’maryo , Rais wa Zamani wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Abdullahman Kinana wamepanga kumshitaki Mhariri wa Gazeti la Mwanahalisi ndg Said Kubenea kwa kile kinachotajwa ni kuwasingizia kwenye chapisho Lake kuhusu wao kuwa vinara wa kupinga Mkataba wa Uwekezaji kati… Continue reading KINANA NA KIKWETE WAGUSWA SUALA LA BANDARI

JE NI NINI KINASABABISHA MFULULIZO WA MAPINDUZI YA KIJESHI KWENYE SERIKALI ZA AFRIKA?

Makala Fupi Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio ya kijeshi ya nchi mbalimbali kupindua Serikali za nchi zao huku sababu zikitajwa kuwa ni Utawala Mbovu wa Viongozi waliopo Madarakani,Ufisadi, Rushwa na Kutokuheshimu Haki za Binadamu. Inaelezwa 38% tu ya Nchi za Afrika zimebaki na utaratibu wa ukomo wa mihula ya Urais ,nyingine zilizojaribu… Continue reading JE NI NINI KINASABABISHA MFULULIZO WA MAPINDUZI YA KIJESHI KWENYE SERIKALI ZA AFRIKA?

MAMBO HAYA YATASAIDIA KUONDOA RUSHWA NA UFISADI

Makala Fupi Nchi ya Denmark inatajwa mara kibao kuwa kinara kwenye Nchi zenye kiwango kidogo cha Ufisadi kutokana na Uhuru mkubwa wa vyombo vya habari,Uwazi na Upatikanaji wa Taarifa kuhusu Matumizi ya Fedha za Umma. Viwango vikubwa vya Uadilifu kwa maafisa wa Umma,na Mfumo huru wa Mahakama. Katika nchi nyingi, kashfa kubwa zinazohusiana na Ufisadi,Matumizi… Continue reading MAMBO HAYA YATASAIDIA KUONDOA RUSHWA NA UFISADI

KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

Makala Fupi Watu wanakuja na kuondoka,maisha yanakuja na kupita,matukio nayo yanakuja na kuondoka huku matukio haya yakiletwa na kuja kupitia watu tena watu wa wakati husika,yawe mabaya au mazuri yote kwa yote yataleta furaha na huzuni ambazo baada ya muda huzaa kumbukumbu. Kupitia matukio ndipo alama hupatikana ,ndipo heshima huongezeka ndipo tofauti ya watu kwenye… Continue reading KWA DOCUMENTARY HII NITAWASHANGAA WANAYANGA WASIPOVUNJA REKODI KWA KUITAZAMA

MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

Dar es salaam Hujambo? Mtanzania popote pale ikiwa ni mapumziko ya hivi leo kwenye sherehe za nanenane ambazo kitaifa zinafanyika Mkoani Songwe na Mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Taarifa kubwa kwenye magazeti ya leo ni kuhusu siku ya wakulima hivi leo ikiwa ni siku ya wakulima… Continue reading MAGAZETI YA LEO AGOSTI 8,2023

YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

Dar es salaam. Matamasha ya Wiki ya Mwananchi na Simba Day yamekamilika ambapo sasa ni rasmi maandalizi ya Ligi ya NBC yataanza kwa wababe wa soka la Tanzania yaani Simba na Yanga. Watani hawa wa jadi wamekuwa wakiwekeana tambo ambazo haziishii kwenye uwanja pekee mpaka kwenye mambo mbalimbali yakiwepo ya idadi ya mabao wanayofunga,takwimu za… Continue reading YANGA YAINGIZA PESA NDEFU KWENYE TAMASHA LAKE ZAIDI YA SIMBA

KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

Dar es salaam Mpemzi msomaji wa Magazeti ni asubuhi nyingine tena ambapo leo magazeti yana habari kuhusu Simba Day na Janga la Moto Ubungo. Magazeti ya hivi leo karibu yote yameandika kuhusu Simba Day ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Tanzania Samia Suluhu ambaye kati ya mengi aliyosema ni kuhusu kuipongeza Simba na Ubunifu… Continue reading KURASA ZA MAGAZETI YA LEO 7 AGOSTI 2023

DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

Dar es salaam Miongoni mwa rekodi ambayo nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinum amekuwa nayo kwa muda ni kuwa na ufuasi wa watu wengi kwenye mtandao wa kijamii wa YouTube. Kwasasa taarifa ikufikie ya kwamba mkali wa Nigeria Burna boy anaenda kuivunja rekodi hiyo kitu kitakachofanya sasa Wanigeria wawe wanamiliki kila aina ya mafanikio hasa… Continue reading DIAMOND SASA APIGWA CHINI YOUTUBE

WAFANYAKAZI POSTA WAKAMATWA KUSAFIRISHA BANGI.

Dar es salaam Watumishi wa Posta ni maofisa George Mwamgabe,Sima Ngaiza na Dereva wa shirika hilo Abdulrahman Msimu,wanakabiliwa na kesi ya kusafirisha Dawa aina ya Heroin na Bangi. Imeelezwa Agosti 2018 katika ofisi za Posta Ilala jijini Dar es salaam, washtakiwa walisafirisha Bangi yenye uzito wa Gramu 124.55 na Heroin Gramu 1.55 kupitia vifurushi vya… Continue reading WAFANYAKAZI POSTA WAKAMATWA KUSAFIRISHA BANGI.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner