WACHEKESHAJI WAWILI MBARONI

MICHEZO Bodi ya filamu Nchini (TFB) imewakamata waigizaji wa vichekesho maarufu, Kicheche na Clam kwa kosa la kukiuka sheria ya bodi ya filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo,wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli zao za uigizaji lakini wamekuwa wakipuuza.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner