CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

MICHEZO Klabu ya Yanga SC itakutana na Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini kwenye mchezo wa Robo Fainali ya Klabu Bingwa Afrika Katika Droo iliyochezeshwa leo, Mtani wa Jadi wa Yanga, Klabu ya Simba SC imepangiwa kuvaana na Klabu ya Al Ahly FC kutoka Misri Aidha, Klabu ya TP Mazembe itakutana na Klabu ya… Continue reading CAFCL ROBO FAINALI:YANGA VS MAMELODI,SIMBA VS AL AHLY

TFF YAPIGWA FAINI NA CAF

MICHEZO Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) imetozwa kiasi cha dola 10,000 Shirikisho la mpira wa miguu Afrika ( CAF) kutokana na uvunjaji wa kanuni uliofanywa na kocha mkuu wa Taifa stars ,Adel Amrouche hivi karibuni uliosababisha kocha huyo kupewa adhabu ya kufungiwa mechi nane. TFF imetozwa fedha hizo kutokana na kuvunja kanuni ya… Continue reading TFF YAPIGWA FAINI NA CAF

TANZANIA YAFUZU AFRICON MBELE YA ALGERIA

Michezo Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa stars” imeandika rekodi nyingine ya kufuzu kucheza michuano ya Afrika kwa mara ya tatu baada ya kuilazimisha sare ya timu ya ALGERIA ya 0-0 . Tanzania ambayo ilishiriki AFRICON kwa mara ya kwanza mwaka 1980 na baadaye 2019.imekamilisha michezo yake ya Kundi F kwa kukusanya jumla ya alama… Continue reading TANZANIA YAFUZU AFRICON MBELE YA ALGERIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner