Baada ya kuondolewa katika Uongozi wa Chama cha CNL katika Mkutano uliofanyika mkoani Ngozi Kaskazini mwa Burundi, Mhe.Agathon Rwasa amerejea nchini baada ya kuwa nje ya nchi kikazi.

Mbunge Agathon Rwasa amepokelewa na familia na wafuasi wake katika chama cha CNL.

Nafasi ya Kiongozi huyo wa zamani wa kundi la waasi mwenye umri wa miaka 60 imechukuliwa na Nestor Girukwishaka.

Chama cha CNL ambacho kilianzishwa mwaka wa 2019, kilisimamishwa mwaka jana na serikali ya Burundi ikikituhumu kutotii sheria na kuhataraisha usalama wa ndani wa nchi.

Continue ReadingBaada ya kuondolewa katika Uongozi wa Chama cha CNL katika Mkutano uliofanyika mkoani Ngozi Kaskazini mwa Burundi, Mhe.Agathon Rwasa amerejea nchini baada ya kuwa nje ya nchi kikazi.