TANZANIA YAKIRI BEI YA VANILLA KUSHUKA

Dar es salaam Waziri wa Kilimo wa Tanzania Hussein Bashe amesema sio kweli kwamba zao la Vanilla linauzwa kwa kilo Tsh .mil 1.5 ambapo amesema taarifa hizo ni za uongo huku akiwataka Waandishi wa habari kuisaidia Serikali kufikisha taarifa sahihi kwa wakulima kuhusu bei za mazao na taarifa nyingine za kilimo. Bashe amesema hayo leo… Continue reading TANZANIA YAKIRI BEI YA VANILLA KUSHUKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner