MFAHAMU JUDITH TULUKA SUMINWA WAZIRI MKUU MPYA DRC

HABARI KUU Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi leo Aprili Mosi amemteua Waziri wake wa Mipango, Judith Tuluka Suminwa kuwa Waziri Mkuu. Suminwa anakuwa mwanamke wa kwanza kwa Taifa hilo kuwa Waziri Mkuu akichukua nafasi ya Jean-Michel Sama Lukonde aliyejiuzulu wiki mbili zilizopita. Lukonde (46), aliyekuwa madarakani kwa miaka mitatu, aliteuliwa… Continue reading MFAHAMU JUDITH TULUKA SUMINWA WAZIRI MKUU MPYA DRC

SABABU VINICIUS JR KUBAGULIWA ZAIDI VIWANJANI

NYOTA WETU Winga wa Brazil na Real Madrid Vinicius Jr (23) amelia kwa uchungu wakati akielezea ubaguzi anaoupitia nchini Uhispania. Akizungumza na waandishi wa kuelekea mechi kati ya Brazil na Hispania, Vinicius alionekana kuwa na hisia kubwa. “Mimi nataka kucheza soka tu, ila hii hali inanifanya nikose hamasa ya kucheza”. Mechi hiyo ya kirafiki inayolenga… Continue reading SABABU VINICIUS JR KUBAGULIWA ZAIDI VIWANJANI

MACKY SALL AMPONGEZA BASSIROU DIOMAYE FAYE KUSHINDA URAIS

HABARI KUU Rais wa Senegal anayemaliza muda wake, Macky Sall amempongeza mgombea wa upinzani, Bassirou Diomaye Faye kwa ushindi alioupata huku mshindani wake wa karibu, Amadou Ba akikubali kushindwa katika uchaguzi huo. Baada ya mgombea huyo wa chama tawala, Amadou Ba kutambua ushindi wa Faye katika duru ya kwanza na kutoa pongezi zake, Sall, ambaye… Continue reading MACKY SALL AMPONGEZA BASSIROU DIOMAYE FAYE KUSHINDA URAIS

THIBAUT COURTOIS APATA MAJERAHA

MICHEZO Mlinda Lango wa Real Madrid, Thibaut Courtois amefanyiwa upasuaji wa mguu wake wa kulia alioumia kwenye zoezi ya timu hiyo juzi Jumatano (Machi 20). Mlinda mlango huyo wa zamani wa klabu za Atletico Madrid na Chelsea, atakuwa nje ya uwanja kwa majuma kadhaa kutokana na majeraha hayo aliyoyapata Jumanne (Machi 19). “Courtois ataanza mchakato… Continue reading THIBAUT COURTOIS APATA MAJERAHA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner