Lyta responds to criticism from Ashluxe CEO over his choice of clothing

In a recent social media post, Nigerian artist Lyta,has responded to criticism from Ashluxe CEO Yinka Ash regarding his choice of attire. Yinka Ash had publicly called out Lyta for wearing what he claimed to be a counterfeit Ashluxe design. Lyta took to his official Snapchat account to address the accusations, showcasing a photo of… Continue reading Lyta responds to criticism from Ashluxe CEO over his choice of clothing

KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

HABARI KUU Mamia ya mahujaji wamefariki dunia na maelfu wanatibiwa kutokana na magonjwa yanayotokana na joto kali walipokuwa wanatekeleza ibada ya kila mwaka ya Hija mjini Makkah, Saudi Arabia, huku joto likifikia nyuzi 49 (Fahrenheit 120). Wakati CNN ikisema waliokufa ni mamia, India Today imetaja zaidi ya 1,000 na The Guardian la Uingereza limetaja watu… Continue reading KWANINI MAHUJAJI WANAKUFA KWENYE MIJI YA MAKKAH NA MADINA?

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Sababu za Ugumba wa Kiume na Hatua za Kuchukua Kutibu Ugonjwa Wenyewe

Ugumba unaweza kuwa wasiwasi kwa wanaume pia kama kwa wanawake. Kuelewa sababu za kawaida zinazochangia ugumba wa kiume na kuchukua hatua za proaktiva kunaweza kusaidia kuboresha uzazi na afya ya uzazi kwa ujumla. Sababu za Ugumba wa Kiume: Hatua za kufuata kwa mwanaume mwenye Ugumba: Ni muhimu kupata ushauri wa kitabibu na kufanya mabadiliko chanya… Continue reading Sababu za Ugumba wa Kiume na Hatua za Kuchukua Kutibu Ugonjwa Wenyewe

A GENTLE REMINDER (POV)

“Many women believe that men are still incapable of emotional maturity and vulnerability. This is a common sentiment, often expressed in numerous comments. However, it is untrue. Many men do the work, show vulnerability, and express their emotions, but they do so in ways profoundly different from how women handle them. Men are wonderfully different,… Continue reading A GENTLE REMINDER (POV)

QUALIFICATIONS OF A REAL MAN

9 ADVICES OF A REAL MAN A man who can control his sexual urge is a man who can live many years on earth. Men don’t know that some of their failures are caused by multiple girlfriends Not all girls have good spirit. Some are demons, others have venom between their legs.Some women are destiny… Continue reading QUALIFICATIONS OF A REAL MAN

MAGAZETI YA LEO 29 MEI 2024

Aziz Ki hajasaini na sababu ni hizi zipo kwenye hela ya usajili na mshahara

Habari za uhakika ni kwamba Aziz Ki anamaliza mkataba wake mwisho wa msimu huu ambao unaishia rasmi tarehe 3 Juni baada ya fainali ya CRDB BANK CONFEDERATION CUP pale Zanzibar. Ukweli kutoka Yanga kupitia Meneja wa Habari ni kwamba Master Ki hajaongeza mkataba mpaka sasa na kuna ushindani wa vilabu vya nje ya nchi kumtaka… Continue reading Aziz Ki hajasaini na sababu ni hizi zipo kwenye hela ya usajili na mshahara

REASONS WHY YOU ARE UNLUCKY WITH WOMEN

LOVE TIPS ❤ 1.. You always accept to be her friend. Once a lady says WE ARE JUST FRIENDS or LET US JUST BE FRIENDS that mean she can’t date or marry you. Simple! See finish has entered or you are not attractive at all to her for love relationship. 2.. You talk too much… Continue reading REASONS WHY YOU ARE UNLUCKY WITH WOMEN

Manchester United na Bayern Munich zaingia vitani

MICHEZO Saa chache baada ya Klabu ya Chelsea kutangaza kuachana na Mauricio Pochettino, Klabu za Manchester United na Bayern Munich zimeanza kuhusishwa na mpango wa kumuajiri Kocha huyo kutoka nchini Argentina. Chelsea imetangaza kusitisha Mkataba wa miaka miwili wa Kocha huyo, baada ya kufanya mazungumzo kwa kina na pande zote mbili kukubaliana kuvunjwa kwa Mkataba… Continue reading Manchester United na Bayern Munich zaingia vitani

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner