RAIS WA SOKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

MICHEZO Rais wa zamani wa Shirikisho la soka nchini China, ambaye alikiri kupokea rushwa, amehukumiwa kifungo cha maisha jela. Vyombo vya habari vya serikali vya China vimeripoti leo kama sehemu ya kampeni kubwa ya kupambana na rushwa katika mchezo nchini humo. Chen Xuyuan akiwa Rais wa shirikisho alikiri kupokea kiasi cha yuan milioni 81.03”, au… Continue reading RAIS WA SOKA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA

10 THINGS WOMEN NEED TO KNOW ABOUT MEN

LOVE ❤ 1. A man who loves you actually looks forward to helping you, even with chores; all you have to do is ask 2. Men love to hang around a woman who challenges them. That woman who knows more about different life topics, not just romance. That woman who talks and he is amazed… Continue reading 10 THINGS WOMEN NEED TO KNOW ABOUT MEN

DONALD TRUMP AOMBA URAIS ILI KUMFUKUZA PRINCE HARRY

HABARI KUU Mgombea urais Donald Trump amesema kama atashinda urais Novemba mwaka huu atamfukuza mwana mfalme wa Uingereza, Prince Harry iwapo atakuwa amedanganya kuhusu utumiaji wake wa dawa za kulevya kwenye fomu ya kuomba viza ya kuishi Marekani. Trump (77) ambaye juzi kwenye jimbo la Ohio alionyesha kukerwa na wingi wa wahamiaji na kuwaita wanyama… Continue reading DONALD TRUMP AOMBA URAIS ILI KUMFUKUZA PRINCE HARRY

KOREA KASKAZINI YAWEKA SHERIA YA ULAJI NYAMA YA MBWA

Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake imetakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake kwa matumizi ya viwandani. Chanzo kimoja kikizungumza na Daily NK kiliorodhesha makosa ambayo mmiliki wa mbwa anaweza kuchukuliwa hatua za kisheria, Ambapo makosa hayo ni ufugaji mbwa… Continue reading KOREA KASKAZINI YAWEKA SHERIA YA ULAJI NYAMA YA MBWA

IVANKA WA TRUMP “HAKUMBUKI”

NYOTA WETU. Taarifa kutokea Marekani zinaeleza kuwa masaa manne ya ushahidi kutoka kwa mtoto mkubwa wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump unaweza kufupishwa kwa neno moja “sikumbuki”. Jumatano,Ivanka Trump (42) alikuwa mwanafamilia wa nne wa kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili baba yake na kaka yake. Katika kesi hiyo, Mwanasheria wa New York anamtuhumu… Continue reading IVANKA WA TRUMP “HAKUMBUKI”

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner