BASHUNGWA AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUKAMILISHA UJENZI

HABARI KUU Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/S Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara ( Km 66.9) kwa kiwango cha lami pamoja na ujenzi wa daraja la Mto Ruaha Mkuu. Waziri Bashungwa ametoa maagizo hayo leo wilayani Kilombero mkoani Morogoro mara… Continue reading BASHUNGWA AMPA MKANDARASI MIEZI MIWILI KUKAMILISHA UJENZI

TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA UJENZI WA BARABARA

HABARI KUU Tanzania na Misri zimekubaliana kushirikiana katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja ili kuchochea ukuaji wa uchumi katika mataifa hayo mawili. Akizungumza katika kikao kazi cha kimkakati kati ya Tanzania na Misri, Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema ushirikiano huo utalenga pia miundombinu ya kimkakati ikiwa ni pamoja na… Continue reading TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA UJENZI WA BARABARA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner