BILA NGUMI TANZANIA INGETOKA PATUPU MASHINDANO YA AFRIKA GHANA

MICHEZO Kikosi cha Timu ya Taifa ya Ngumi ya Tanzania maarufu kama “Faru Weusi wa Ngorongoro” wamefanikiwa kuiheshimisha Tanzania katika michezo ya 13 ya Afrika (All African Games 2023) Jijini Accra nchini Ghana inayofungwa rasmi usiku wa leo katika Jiji hilo. Kikosi hicho kimefanikiwa kushinda Medali 3 za shaba katika mashindano hayo kutoka kwa wachezaji… Continue reading BILA NGUMI TANZANIA INGETOKA PATUPU MASHINDANO YA AFRIKA GHANA

MFAHAMU PROFESA ESTHER MWAIKAMBO

NYOTA WETU Mfahamu Professor Esther Mwaikambo, Mshindi wa tuzo Sekta ya afya kwenye Malkia wa Nguvu 2024. Huyu daktari bingwa wa magonjwa ya watoto. Anaitwa the Tanzanian woman of many firsts (yaani mwanamke Mtanzania mwenye kwanza nyingi). Daktari wa kwanza mwanamke mwaka Tanzania 1969, daktari bingwa wa watoto mwaka 1977, na alikuwa profesa wa kwanza… Continue reading MFAHAMU PROFESA ESTHER MWAIKAMBO

BITEKO AZUIA LIKIZO ZA WAFANYAKAZI WA TANESCO

HABARI KUU Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko, amesitisha likizo kwa watumishi wote wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) hadi hapo hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme itakapoimarika. Dkt. Biteko amechukua hatua hiyo akiwa wilayani Kilombero, mara baada ya kutembelea mtambo wa kuzalisha umeme unaotumia maji wa Kidatu. Amesisitiza kwamba… Continue reading BITEKO AZUIA LIKIZO ZA WAFANYAKAZI WA TANESCO

UKOSEFU NA UHABA WA SUKARI NA UMEME KUISHA MWEZI MACHI TANZANIA

HABARI KUU Serikali ya Tanzania imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu, upatikanaji wa sukari na umeme utakuwa wa kutosha kufuatia jitihada ambazo zinafanywa na mamlaka husika. Wakaazi wa taifa hilo la Afrika mashariki hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na adha kubwa ya kukatika kwa umeme pamoja na uhaba wa bidhaa ya sukari ambayo inatumiwa kwa… Continue reading UKOSEFU NA UHABA WA SUKARI NA UMEME KUISHA MWEZI MACHI TANZANIA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner