Kwanini Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) limechelewa kutumika ?

Daraja la John Magufuli (Kigongo- Busisi) lenye urefu wa Kilomita 3.0 na Barabara unganishi Kilomita 1.66 linatarajiwa kuanza kutumika Disemba 30 mwaka huu likiunganisha Barabara Kuu ya Usagara- Sengerema- Geita zenye urefu wa Kilomita 90. Daraja hilo lenye urefu wa Kilometa 3.0, upana Meta 28.45 unaojumuisha njia mbili za magari zenye upana wa meta 7.0… Continue reading Kwanini Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) limechelewa kutumika ?

Argentina yatinga nusu fainali licha ya Lionel Messi kukosa penalti

Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Amerika Kusini, Argentina imetinga nusu fainali ya michuano hiyo baada ya kuitoa Ecuador katika robo fainali kwa penalti 4-2. Ushindi huo umeipa bingwa huyo mtetezi nafasi ya nusu fainali mashindano hayo kwa mara ya tano mfululizo licha ya nahodha Lionel Messi kukosa penalti ya kwanza. Golikipa Emi Martinez… Continue reading Argentina yatinga nusu fainali licha ya Lionel Messi kukosa penalti

REASONS HUSBANDS LEAVE THEIR WIVES FOR ANOTHER WOMAN

“Till death do us part” were his words to her, at the altar, on their wedding day How come he is now living his life with another woman? What could have made him leave his once beloved wife for another woman? How did he get to the point where he no longer desires to spend… Continue reading REASONS HUSBANDS LEAVE THEIR WIVES FOR ANOTHER WOMAN

5 WRONG REASONS PEOPLE GET MARRIED!

📌FOR CONTENT CREATION. Marriage is not for entertainment! It’s wrong if you’re getting married solely to feed the audience’s eyes. Marriage goes beyond that. 📌TO PLEASE THE PUBLIC. You need to know that people don’t get tired of putting pressure on others. You can’t please everybody, and these people won’t be in the marriage with… Continue reading 5 WRONG REASONS PEOPLE GET MARRIED!

What is the best way to choose life partner?

1️⃣Find someone who can laugh at your silly jokes. 2️⃣Find someone who can bear your pain. 3️⃣Find someone who feels the same way as you do. 4️⃣Find someone who has a few basics in common, loves you back, differs with you some, waits on you when you’re low and truly loves and feels for you.… Continue reading What is the best way to choose life partner?

Mambo 6 Muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha Papai ili ufanikiwe.

Kilimo cha papai ni moja ya shughuli za kilimo zinazofanyika sana katika nchi nyingi duniani. Papai ni zao la chakula na biashara ambalo linapatikana kwa urahisi na lina faida nyingi kwa wakulima. Hapa chini ni mambo 6 muhimu ya kuzingatia katika kilimo cha papai: Uzalishaji wa papai unaweza kuongezeka kwa kiasi kikubwa kwa kutumia miche… Continue reading Mambo 6 Muhimu ya kuzingatia kwenye kilimo cha Papai ili ufanikiwe.

WHAT TO DO WHEN YOU FEEL LIKE GIVING UP ON YOUR MARRIAGE

Historia ya Mwanamziki Diamond platnumz

Nasibu Abdul Juma Isaac (maarufu kwa jina la kisanii kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni kama Chibu, Simba, Nasibu kichwa, Simba la masimba ama Dangote; alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania, 2 Oktoba 1989) ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Fleva na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania… Continue reading Historia ya Mwanamziki Diamond platnumz

Kwanini Biden amekiri kuzidiwa na Donald Trump?

Rais wa Marekani Joe Biden kwa mara nyingine, amekiri kuwa hakuonesha uimara wakati wa mdahalo wa Televisheni dhidi ya mpinzani wake, rais wa zamani Donald Trump rump wiki iliyopita, na kuapa kujiimarisha katika siku zijazo na katika uwanja wa kampeni kuelekea uchaguzi wa mwezi Novemba. Siku ya Jumatano, Biden alikutana na kufanya mazungumzo na Magavana… Continue reading Kwanini Biden amekiri kuzidiwa na Donald Trump?

Mambo 10 ya kisheria ya kuzingatia kabla ya kununua gari kwa mtu

Mambo 10 kisheria unapaswa kuzingatia kabla hujanunua gari kwa mtu. Fuatilia mwanzo mwisho uzi huu itakusaidia. 1.Hakikisha muuzaji anamiliki gari kihalali na ana haki ya kuliuza. Uliza kuona jina la gari na uhakikishe kuwa jina la muuzaji linalingana na jina lililo kwenye kwa blue card original. Kumbuka tuu mtu hawezi kuuza Mali isiyo yake kisheria.… Continue reading Mambo 10 ya kisheria ya kuzingatia kabla ya kununua gari kwa mtu

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner