KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO 03/07/2024

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

Reality TV personality, Kiddwaya, breaks down in tears after experiencing a robbery at his villa in Ibiza.

Kiddwaya, a former Big Brother Nigeria housemate, has expressed his dismay after being robbed in Ibiza, Spain. In an Instagram post, the reality TV celebrity urged his wealthy Nigerian friends planning summer trips to be vigilant. He recounted his disturbing experience, highlighting the need for caution. He revealed that this distressing robbery is the second… Continue reading Reality TV personality, Kiddwaya, breaks down in tears after experiencing a robbery at his villa in Ibiza.

Gayton McKenzie jambazi sugu aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Michezo

Gayton McKenzie, mwanasiasa wa upinzani ambaye safari yake ya maisha imezungukwa na matukio kadha wa kadha kuanzia kuwa jambazi sugu hadi mmiliki wa klabu ya burudani yenye utata, sasa ameteuliwa kuwa waziri wa michezo, sanaa na utamaduni wa Afrika Kusini. Rais Cyril Rampahosa alimteua McKenzie, kiongozi wa Muungano wa Patriotic (PA) kushiks wadhifa huo katika… Continue reading Gayton McKenzie jambazi sugu aliyeteuliwa kuwa Waziri wa Michezo

Sababu Zinazochangia Shahawa kumwagika baada ya tendo la Ndoa

Mbegu za kiume (manii) kumwagika baada ya kumaliza tendo la ndoa ni jambo la kawaida na zipo sababu zinazopelekea hali hiyo: Hata hivyo, ni muhimu kutambua kwamba hali hii haina athari mbaya kwenye uwezo wa kushika mimba. Mbegu za kiume zinazohitajika kwa ajili ya kutungisha mimba husafiri haraka kuelekea kwenye mfuko wa uzazi mara tu… Continue reading Sababu Zinazochangia Shahawa kumwagika baada ya tendo la Ndoa

Clatous Chama aipa “Thank you “Simba kikubwa

Ni takribani kilomita 0.6 ametumia Clatous Chama kutoka Makao Makuu ya Klabu ya Simba SC, Msimbazi kwenda ‘Twiga Street’ Jangwani na hatimaye ‘Magician’ huyo ameaga rasmi. Chama anayeufanya mchezo wa soka kuonekana kama kula ice cream ya maziwa au kunywa asali huku ukiwa na smartphone ukitizama picha za Hamisa Mobeto au Hashikiki,ametumia miaka sita kuifikisha… Continue reading Clatous Chama aipa “Thank you “Simba kikubwa

WHAT WOMEN WANT AFTER SEX

When men want sex, they can say and do the right things; but how he feels about her is revealed after the sex. Many women get great sex yet feel unloved by the man they are building a future with, many wives feel used by their husbands. Some men start the sex well, get the… Continue reading WHAT WOMEN WANT AFTER SEX

Stefano Pioli kocha mkuu Al Ittihad

Baada ya kufutwa kazi kama kocha mkuu ya AC Milan, mkufunzi, Stefano Pioli ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ittihad ya Saudi Arabia akichukua mikoba ya Muargentina, Marcelo Gallardo. Licha ya kusheheni nyota kama Karim Benzema, N’Golo Kante na Fabinho klabu hiyo ya Saudi Pro League ilikuwa na msimu usioridhisha ikimaliza nafasi ya… Continue reading Stefano Pioli kocha mkuu Al Ittihad

WHY YOUR PRAYERS FOR YOUR MARRIAGE ARE NOT WORKING

God checks your heart, not just the words you use when praying. Is your heart in the right place? Whatever you do to your spouse, you are doing to God. Don’t be mean to your spouse then expect God to hear you out How can you say you love the God you don’t see, but… Continue reading WHY YOUR PRAYERS FOR YOUR MARRIAGE ARE NOT WORKING

WHY MEN DELAY GETTING MARRIED

1) FEAR (MARRIAGE PHOBIA) Many bachelors actually fear Marriage They fear the financial responsibilities that come with Marriage. spending on her, and then when the kids come, extra demands on him. Local man cannot can. They fear the emotional responsibilities, tell her you love her everyday, take her out on dates, kiss her daily, be… Continue reading WHY MEN DELAY GETTING MARRIED

Aliko Dangote, the leader of Dangote Group, voiced his disagreement with the recent CBN choice to increase interest rates to nearly 30%.

During a conference organized by the Manufacturers Association of Nigeria, the speaker highlighted the fact that the existing interest rates are a major obstacle to job creation and expansion in the manufacturing sector, posing a significant challenge for Nigerian manufacturers to stay competitive. He emphasized the need for new policies to safeguard local industries, stressing… Continue reading Aliko Dangote, the leader of Dangote Group, voiced his disagreement with the recent CBN choice to increase interest rates to nearly 30%.

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner