RUTO Asitisha Kusaini Muswada wa sheria ya Fedha

Rais William Ruto ametangaza kusitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha na kuagiza urejeshwe Bungeni kwaajili ya kufanyiwa maboresho kadhaa kabla ya Wabunge kwenda mapumziko. Katika kikao na waandishi wa habari siku moja baada ya maandamano makubwa kushuhudiwa nchini kupinga mswada huo ,Ruto pia ametangaza hatua mbalimbali za kupunguza mgao wa fedha za matumizi katika… Continue reading RUTO Asitisha Kusaini Muswada wa sheria ya Fedha

I actually feel sad for Davido now that he’s making his marriage to Chioma official.

The reason is because, his music career will gradually fade away. Nigerian artists don’t do well with marriages and we have seen this play out over time with so many celebrities. Once they marry, boom! Their career starts to dwindle. Omawunmi used to be bigger than Tiwa Savage in those days, until marriage happened to… Continue reading I actually feel sad for Davido now that he’s making his marriage to Chioma official.

Mitindo ya Maisha isiyofaa Inayochangia Ugonjwa wa Kisukari

🌟 Kisukari na Athari za Mitindo ya Maisha Isiyofaa 🌟 Shirika la Afya Duniani limeonyesha kuwa kisukari ni sababu kuu ya upofu, kushindwa kufanya kazi kwa figo, mshtuko wa moyo, kiharusi, na kukatwa kwa viungo vya chini. Kati ya mwaka 2000 na 2019, kulikuwa na ongezeko la 3% la vifo vya kisukari kwa umri. Hapa… Continue reading Mitindo ya Maisha isiyofaa Inayochangia Ugonjwa wa Kisukari

JESHI LA KENYA KUPITA MTAANI KUTULIZA VURUGU

Rais wa Kenya William Ruto, ametangaza kuwa Jeshi la nchi hiyo na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, vitaingia mitaani ili kuhakikisha wanalinda usalama wa Watu na mali zao dhidi ya Waandamanaji wanaofanya kile alichokiita kwamba ni uhalifu. Rais Ruto ameyasemayo wakati akihutubia Taifa nchi hiyo leo June 25,2024, kufuatia kukithiri kwa vurugu za maandamano… Continue reading JESHI LA KENYA KUPITA MTAANI KUTULIZA VURUGU

Tragedy struck on the Lagos-Ibadan expressway as a commercial bus collided with a truck, resulting in seven fatalities and 11 individuals sustaining injuries.

A tragic incident unfolded on the Lagos-Ibadan expressway, claiming the lives of at least seven individuals and leaving another 11 with different levels of injuries. The unfortunate accident occurred on Monday night, precisely at 9:33 pm, near the Ogere area. Involved in the collision were a Mazda bus, identified by its registration number MNY894, and… Continue reading Tragedy struck on the Lagos-Ibadan expressway as a commercial bus collided with a truck, resulting in seven fatalities and 11 individuals sustaining injuries.

Deputy vice-chancellor of Usmanu Danfodiyo University reportedly lost his life in a heinous act allegedly committed by suspected bandits.

In a tragic turn of events, the deputy vice-chancellor of Usmanu Danfodiyo University has reportedly lost his life in a heinous act allegedly committed by suspected bandits. A devastating incident occurred as bandits took the life of Professor Yusuf Saidu, who served as the Deputy Vice-Chancellor of Research, Innovation, and Development at Usmanu Danfodiyo University,… Continue reading Deputy vice-chancellor of Usmanu Danfodiyo University reportedly lost his life in a heinous act allegedly committed by suspected bandits.

Idadi ya Waandamanaji waliofariki Kenya Mpaka Sasa

Waandamaji zaidi ya Watano wameuwawa kwa risasi wakati Polisi wakipambana na Waandamanaji wanaopinga Muswada wa Fedha 2024 Chama cha Madaktari cha Kenya kimeripoti kusambaa kwa miili kadhaa ya Watu nje ya eneo la Bunge ambapo waandamanaji walivamia jengo hilo Jijini Nairobi Wakati huohuo, Hospitali ya Taifa ya Kenyatta imeendelea kupokea idadi kubwa ya majeruhi asilimia… Continue reading Idadi ya Waandamanaji waliofariki Kenya Mpaka Sasa

“I promise her a lifetime assurance,”–Davido seeks Chioma’s parents’ blessing as he requests her hand in marriage, receiving their heartfelt prayers.

Nigerian sensation Davido, also known as David Adeleke, has once again captured the hearts of his fans with a heartwarming gesture during his wedding ceremony with his beloved partner Chioma. In a touching video that has since gone viral, Davido can be seen alongside his close friends, including the renowned Cubana Chief Priest, Lati Biola,… Continue reading “I promise her a lifetime assurance,”–Davido seeks Chioma’s parents’ blessing as he requests her hand in marriage, receiving their heartfelt prayers.

“Nigeria is happy”–Davido expresses joy in Nigeria as he leaves his Maybach to spend time with street boys on his wedding day.

New sensation taking over the internet of Davido’s wedding themed “#Chivido24”, and it is all about the incredible love the public has for singer Davido. In a viral video that is making waves, Davido can be seen stepping out of his extravagant 2023 Maybach S680 Virgil Abloh, worth a staggering ₦450 million, to interact with… Continue reading “Nigeria is happy”–Davido expresses joy in Nigeria as he leaves his Maybach to spend time with street boys on his wedding day.

Kwanini Bunge la Kenya limepitisha Mswada wa Fedha Unaopingwa?

Wakati maandamano yakiendelea kushika kasi Nchini Kenya, Bunge la nchi hiyo leo June 25,2024 limepitisha Mswada wa Fedha wa 2024 licha ya upinzani kutoka kwa maelfu ya Wakenya. Jumla ya wabunge 195 walipiga kura kuunga mkono mswada huo, 104 walipiga kura ya kuupinga, na kulikuwa na kura 3 zisizo na batili. Mswada huo ulikosolewa kwa… Continue reading Kwanini Bunge la Kenya limepitisha Mswada wa Fedha Unaopingwa?

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner