JE KUDONDOKA KWA MATITI YA MWANAMKE KUNASABABISHWA NA KUSHIKWASHIKWA NA MWANAUME?

Kuanguka baada ya kushikwa na wanaume. Kumekuwepo na dhana tofauti tofauti kuhusiana na kudondoka Kwa matiti ya mwanamke ambazo hazina ukweli ndani yake;Kisayansi kudondoka kwa matiti kunaweza kuelezewa kama ifuatavyo. Ukuaji wa matiti ya mwanamke huongozwa na mfumo wa taarifa za urithi (Genes) pamoja na mfumo wa vichocheo vya mwili (Homoni). Hakuna mfumo mmoja wa… Continue reading JE KUDONDOKA KWA MATITI YA MWANAMKE KUNASABABISHWA NA KUSHIKWASHIKWA NA MWANAUME?

MAMBO YA KUFANYA KUZUIA MSHITUKO WA MOYO

Ikiwa Zaidi ya watu milioni 17.5 Duniani hufariki kwa sababu ya mshituko wa Moyo, Habari njema ni kwamba zaidi ya 80% ya mshituko wa moyo huweza kuzuilika. Mambo ya kufanya kuzuia mshituko wa moyo. 1.Kupata usingizi wa kutoshaKituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Marekani (CDC) kinasema kuwa na usingizi usiotosha nyakati za usiku kuna… Continue reading MAMBO YA KUFANYA KUZUIA MSHITUKO WA MOYO

FAHAMU SABABU KWANINI WATOTO HUWA WANALIA USIKU

Watoto huelezea hisia zao tofauti na watu wazima ambao mojawapo ni kulia, watoto kulia usiku ni hali ya kawaida ambayo inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Kujua sababu hizi na kuchukua hatua sahihi kunaweza kusaidia kumtuliza mtoto na kuhakikisha usiku mzuri wa kulala. Sababu hizo ni:- 1️⃣Njaa: Watoto wadogo, hasa wachanga, wanaweza kulia usiku kwa sababu… Continue reading FAHAMU SABABU KWANINI WATOTO HUWA WANALIA USIKU

HABITS OF BABY HUSBAND

JE ULAJI WA UDONGO UNA MADHARA GANI KWA MAMA NA MTOTO ALIYEPO TUMBONI

Kula udongo wakati wa ujauzito ni tabia inayojulikana kama “geophagy” au “pica,” na inaweza kuonekana katika maeneo mbalimbali duniani kwa wanawake hususani wakati wa ujauzito. Ingawa kuna imani kwamba kula udongo kunaweza kuwa na faida kwa mjamzito!. Japo ukweli ni kwamba kuna hatari nyingi zinazoweza kuathiri afya ya mama na mtoto kutokana na ulaji wa… Continue reading JE ULAJI WA UDONGO UNA MADHARA GANI KWA MAMA NA MTOTO ALIYEPO TUMBONI

HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

Kupata ujauzito ni jambo la kusisimua na lenye kuleta furaha kwenye familia baina ya wapendanao. Na Ili kuhakikisha afya njema kwa mama na mtoto, ni muhimu kuchukua hatua sahihi mara tu baada ya kugundua kuwa mama ana ujauzito. Zifuatazo ni hatua muhimu za kuchukua baada ya mama kupata ujauzito; 1️⃣. Panga Ziara ya kumuona Daktari:… Continue reading HATUA ZA KUFUATA KUHAKIKISHA MAMA ANAJIFUNGUA SALAMA

13 BEST REASON WHY HUMILITY IS IMPORTANT IN MARRIAGE

KURASA ZA MAGAZETI YA HIVI LEO

Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

NDEGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS YAPOTEA

HABARI KUU Ndege ya kijeshi iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa Malawi na watu wengine tisa imepotea siku ya leo Jumatatu 10 Juni 2024 na msako unaendelea, ofisi ya Rais wa Malawi imesema. Ndege iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi “Saulos Chilima” mwenye umri wa miaka 51 iliondoka katika mji mkuu wa Malawi “Lilongwe”, lakini… Continue reading NDEGE ILIYOMBEBA MAKAMU WA RAIS YAPOTEA

DAWA YA UZAZI WA MPANGO KWA WANAUME YAPATIKANA NA HIVI NDIVYO ITATUMIKA

Baada ya miaka kadhaa ya kusubiri njia mbadala za uzazi wa mpango kwa Wanaume, Watafiti wamesema hatimaye wamepiga hatua kubwa katika chaguo mahususi kwa ajili ya Wanaume ambapo bidhaa ya majaribio ya uzazi wa mpango ambayo ipo kwa mfano wa mafuta (gel) itakuwa ikipakwa na Wanaume kwenye mabega yao mara moja kwa siku na kisha… Continue reading DAWA YA UZAZI WA MPANGO KWA WANAUME YAPATIKANA NA HIVI NDIVYO ITATUMIKA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner