Jacob Zuma awalalamikia majaji kumzuia kugombea Ubunge

HABARI KUU Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amewalalamikia majaji waliotoa uamuzi wa kumzuia kuwania ubunge katika hukumu walioitoa Jumatatu. Katika mahojiano yake ya kwanza tangu mahakama kumpiga stop kugombea, Zuma ameiambia BBC kwamba Mahakama ya Kikatiba ilikosea kutoa uamuzi kwamba hafai kugombea, kutokana na hukumu dhidi yake ya mwaka 2021 iliyomwona ana… Continue reading Jacob Zuma awalalamikia majaji kumzuia kugombea Ubunge

Utata vifo vya watu 11 kiwanda cha Mtibwa Sugar

HABARI KUU Watu 11 wakiwemo raia watatu kigeni wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa, baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa kilichopo Turiani Mkoani Morogoro kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji. Akizungumza na Dar24 Media, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Morogoro, Shaban Marugujo amesema mlipuko huo ulitokea… Continue reading Utata vifo vya watu 11 kiwanda cha Mtibwa Sugar

THE TRUTH ABOUT SEX MEN DON’T WANT YOU TO KNOW

LOVE TIPS ❤ STRICTLY FOR THE MARRIED AND MATURE SINGLES THE TRUTH ABOUT SEX MEN DON’T WANT YOU TO KNOW Because they know you will condemn them, see them as sex freaks, call them dogs and give them unprintable names but that does not stop a man from being a man or do you wanna… Continue reading THE TRUTH ABOUT SEX MEN DON’T WANT YOU TO KNOW

THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE

LOVE TIPS ❤ 6 THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE: Do you really desire a healthy marriage? Are you really sure? Are you ready to give it all it will take? If you answered yes to all these questions, then let me tell you some things you must give to your spouse if you really… Continue reading THINGS YOU MUST GIVE YOUR SPOUSE

Nikki Haley kumpigia Donald Trump kura

HABARI KUU Aliyekuwa mgombea urais wa chama cha Republican Nikki Haley amesema ana mpango wa kumpigia kura Donald Trump, mpinzani wake wa zamani na bosi wake, katika uchaguzi wa urais wa Marekani mwaka 2024. Haley, ambaye aliwahi kuwa balozi wa Trump katika Umoja wa Mataifa, ambapo Haley alikuwa mpinzani wa mwisho kujiondoa katika kinyang’anyiro cha… Continue reading Nikki Haley kumpigia Donald Trump kura

JINSI YA KUTUMIA BAMIA KUONGEZA UTE UKENI

AFYA Bamia inajulikana kwa kiasi kikubwa cha nyuzinyuzi za majimaji, na hivyo inaweza kusaidia kuboresha ute wa uke. Ifuatayo ni namna ya kutumia bamia kuongeza ute ukeni: 1) Osha Na Kata Bamia. Anza kwa kununua bamia nzuri na safi. Osha bamia kwa maji baridi na kisha kata sehemu zote zisizohitajika, kama vile mashina na miisho.Unaweza… Continue reading JINSI YA KUTUMIA BAMIA KUONGEZA UTE UKENI

13 WAYS TO CORRECT YOUR HUSBAND WITHOUT HURTING HIS EGO

LOVE TIPS ❤ 1: LOWER YOUR VOICEDon’t shout at him..He is not your child. Although sometimes he acts like a child but yes you can correct him in a minimum volume tone. 2: DO IT IN LOVECorrection should be done in love. Remember your husband is a human too. He makes mistakes and so are… Continue reading 13 WAYS TO CORRECT YOUR HUSBAND WITHOUT HURTING HIS EGO

Key points of contention between Mauricio Pochettino and Chelsea which led to him leaving the club

ANALYSIS ● The head coach’s willingness to fit in with the club-imposed structure● Initial scepticism over the £221.7m ($282m) midfield pairing of Moises Caicedo and Enzo Fernandez● The owners’ desire for a coach who ‘teaches’ football● Training methods and the club’s injury record● Pochettino’s sense that he was one of the few experienced operators in… Continue reading Key points of contention between Mauricio Pochettino and Chelsea which led to him leaving the club

Sababu za Waziri Mkuu Succès Masra kujiuzulu

HABARI KUU Waziri Mkuu wa Chad, Succès Masra, amewasilisha barua yake ya kujiuzulu Mei 22,2024 ikiwa ni zaidi ya wiki mbili baada ya kushindwa katika uchaguzi wa Rais wa Mei 6 huku Jenerali Mahamat Idriss Déby Itno, akiibuka mshindi. “Nimewasilisha kujiuzulu kwangu na kwa Serikali ya mpito, ambayo imekuwa haina umuhimu na kumalizika kwa Uchaguzi… Continue reading Sababu za Waziri Mkuu Succès Masra kujiuzulu

TABIA 15 ZA WANAWAKE WALIOPOTEZA SIFA ZA KUOLEWA

MAPENZI TABIA 15 ZA WANAWAKE WALIOPOTEZA SIFA ZA KUOLEWA. 1.Mwanamke anaelaumu kwa kila kitu hata umfanyie zuri lipi bado atalaumu. Huona mabaya tu, hana zuri kwake. 2.Mwanamke anayejiona amekamilika, anajihisi anaweza kufanya lolote bila mwanaume, na kuhisi anaweza kufanya lolote analofanya mwanaume, daima anataka haki sawa na hana muda wa kumheshimu mwenza wake. 3.“The Crybaby”… Continue reading TABIA 15 ZA WANAWAKE WALIOPOTEZA SIFA ZA KUOLEWA

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner