MIKEL ARTETA BADO ANA IMANI YA KUTWAA UBINGWA WA ENGLAND

MICHEZO Kocha Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta amesema inawezekana timu yake kutwaa taji la Ligi Kuu ya England ‘EPL’ msimu huu 2023/24. Arteta ametoa kauli hiyo baada ya kikosi chake kurejea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo kufuatia ushindi wa bao 1-0 iliyoupata dhidi ya Manchester United, Uwanja wa Old Trafford, England juzi Jumapili (Mei… Continue reading MIKEL ARTETA BADO ANA IMANI YA KUTWAA UBINGWA WA ENGLAND

ARSENAL NA LIVERPOOL WAINGIA KWENYE VITA YA ANTONY GORDON

MICHEZO Arsenal huenda ikaangukia pua katika mchakato wa kuwania saini ya Mshambuliaji wa Newcastle United, Alexandre lsak baada ya Liverpool kuonyesha nia ya kutaka kumsajili Antony Gordon kutoka hapohapo Newcastle. Kwa mujibu wa Daily Star, ikiwa Liverpool itafanikisha mchakato wa kumsajili Gordon kuna uwezekano mkubwa Newcastle ikasitisha mpango wa kumuuza lsak kwa sababu itakuwa imeshajiweka… Continue reading ARSENAL NA LIVERPOOL WAINGIA KWENYE VITA YA ANTONY GORDON

SIMBA IPO MBIO KUMSAJILI MLINDA MLANGO LEY MATAMPI

MICHEZO Baada ya taarifa za kumpa mkataba wa awali Beki wa kati ya Coastal Union, Lameck Lawi klabu ya Simba imeendelea kuiganda timu hiyo na sasa wanafanya mpango wa kumsajili Mlinda Lango Ley Matampi raia wa Jamhuri ya Kidemkokrasi ya Congo, ambapo kama mambo yatakwenda vyema anaweza kuvaa uzi mwekundu msimu ujao. Habari kutoka ndani… Continue reading SIMBA IPO MBIO KUMSAJILI MLINDA MLANGO LEY MATAMPI

SIMBA IPO MBIO KUMSAJILI MLINDA MLANGO LEY MATAMPI

MICHEZO Baada ya taarifa za kumpa mkataba wa awali Beki wa kati ya Coastal Union, Lameck Lawi klabu ya Simba imeendelea kuiganda timu hiyo na sasa wanafanya mpango wa kumsajili Mlinda Lango Ley Matampi raia wa Jamhuri ya Kidemkokrasi ya Congo, ambapo kama mambo yatakwenda vyema anaweza kuvaa uzi mwekundu msimu ujao. Habari kutoka ndani… Continue reading SIMBA IPO MBIO KUMSAJILI MLINDA MLANGO LEY MATAMPI

AJALI ILIVYOUWA WATU 7 MOROGORO

HABARI KUU Watu saba wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari aina ya Toyota Noah, yenye namba za usajili T101 DKB kugongana uso kwa uso na Lori aina ya Man lenye namba za usajili RL 1801 katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,… Continue reading AJALI ILIVYOUWA WATU 7 MOROGORO

DIFFERENT TYPES OF SEX IN MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ 9 DIFFERENT TYPES OF SEX IN MARRIAGE!!!!! 1. RECONCILIATION SEX:- Sex is a most potent weapon for diluting and difusing misunderstanding in Marriage. If you don’t use SEX to settle some stubborn crisis, then you are missing out and not maximising it. In addition when you both settle a misunderstanding, the person… Continue reading DIFFERENT TYPES OF SEX IN MARRIAGE

MAISHA MCHANA USIKU KULALA STENDI YA MAGUFULI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

HOW TO KNOW THAT A GUY IS REALLY SERIOUS FOR MARRIAGE

LOVE TIPS ❤ In this article, what I intend to do is to show you how you can spot a guy that is serious for marriage and wants to walk down the aisle with you. You really need to take this seriously because your time, prime, resources and potential life partners are at stake. One… Continue reading HOW TO KNOW THAT A GUY IS REALLY SERIOUS FOR MARRIAGE

DJ Cuppy hints at marrying an Indian man amid difficulty in finding husband

CELEBRITIES Nigerian disc jockey Florence Otedola, popularly known as DJ Cuppy, has ignited speculation on social media after expressing her admiration for Indian culture and hinting at the possibility of marrying an Indian man. The revelation comes amidst her public discussions about the challenges she faces in finding a suitable life partner. Taking to her… Continue reading DJ Cuppy hints at marrying an Indian man amid difficulty in finding husband

HOW TO UNLOCK YOUR WOMAN’S HEART AND MAKE HER FALL IN LOVE WITH YOU

LOVE TIPS ❤ What’s wrong with your wife? Why is your fiancee acting cold? Why wouldn’t your lady friend accept your marriage proposal? Why does your wife hate sex and tune off each time you are horny? Why does she hate this thing as much as you love it? Why won’t she get orgasm? She’s… Continue reading HOW TO UNLOCK YOUR WOMAN’S HEART AND MAKE HER FALL IN LOVE WITH YOU

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner