Burundi yaishutumu Rwanda kuhusika na shambulio la Bujumbura

HABARI KUU Burundi imeishutumu Rwanda kuhusika katika shambulio la guruneti ambalo liliwajeruhi watu 38 karibu na Soko Kuu la zamani mjini Bujumbura. Akizungumza na Waandishi wa habari, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani na Usalama Pierre Nkurikiye amefahamisha kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakipata mafunzo nchini Rwanda kupitia kundi la waasi la Red Tabara… Continue reading Burundi yaishutumu Rwanda kuhusika na shambulio la Bujumbura

SHIRIKA LA NDEGE LATOA UFAFANUZI HUU JUU YA NDEGE ILIOPO MALAYSIA

HABARI KUU Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ndege yake aina ya Boeing 787- 8 yenye usajili wa namba 5H-TCJ kupelekwa kwenye matengenezo makubwa yaani Check – C kabla ya kufikisha muda wake tangu inunuliwe na kutelekezwa nchini Malaysia. Taarifa ya ATCL ya leo Mei 11, 2024 imebainisha… Continue reading SHIRIKA LA NDEGE LATOA UFAFANUZI HUU JUU YA NDEGE ILIOPO MALAYSIA

Davido’s personal barber flies to Dubai to give him haircut

CELEBRITIES A Nigerian man, who happens to be the personal barber of popular singer Davido, flew to Dubai to trim the singer’s hair and shared a video on social media. The revelation came in a video posted on his TikTok page, along with the location where the singer’s hair was trimmed. In the video, the… Continue reading Davido’s personal barber flies to Dubai to give him haircut

Congratulations pour in as Mary Njoku gains admission into Harvard University

CELEBRITIES Nigerian actress Mary Njoku has been lauded by her colleague and friend Uche Ogbodo as she reportedly gains admission into Harvard University. The news of Mary Njoku’s admission into the prestigious American institution, Harvard University, was met with widespread jubilation among fans, friends, and colleagues, including Uche Ogbodo, who took to her Instagram to… Continue reading Congratulations pour in as Mary Njoku gains admission into Harvard University

MUSEVENI AIAGIZA WIZARA KUCHUNGUZA MALI ZA SPIKA ANITA AMONG

HABARI KUU Rais Yoweri Museveni wa Uganda, ameiagiza Wizara ya Ukaguzi wa Serikali na Maadili, kuchunguza utajiri wa Spika wa Bunge la nchi hiyo Anita Among ambao inasemekana ameficha nchini Uingereza. Serikali ya Uingereza iliwapiga marufuku kusafiri nchini Uingereza Spika huyo na Mawaziri wawili wa zamani Mary Goretti Kitutu na Agnes Nandutu na mali zao… Continue reading MUSEVENI AIAGIZA WIZARA KUCHUNGUZA MALI ZA SPIKA ANITA AMONG

PALESTINA SASA RASMI AMETAMBULIKA KAMA NCHI HURU

HABARI KUU Habari kubwa siku ya leo ni kuwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha kwa ukubwa wa kura za azimio linalounga mkono Palestina kuwa Mwanachama kamili wa umoja huo. Katika taarifa hiyo inaeleleza kuwa Nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania zimeunga mkono Palestina kuwaMwanachama wa UN. Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari… Continue reading PALESTINA SASA RASMI AMETAMBULIKA KAMA NCHI HURU

RAILA ODINGA ATAJA VIPAUMBELE AKICHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA AU

HABARI KUU Kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameeleza majukumu ambayo atatekeleza iwapo atafanikiwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU). Mambo hayo ni pamoja na kuhakikisha AU inafadhili programu na shughuli zake yenyewe. Odinga pia anaona Afrika inaweza kufanya vizuri zaidi katika kilimo na ndipo anasema atahimiza utoaji wa pembejeo za kilimo… Continue reading RAILA ODINGA ATAJA VIPAUMBELE AKICHAGULIWA KUWA MWENYEKITI WA AU

Actress Wofai Fada disclosed her age in a birthday post amidst ongoing drama with her in-laws

CELEBRITIES Today, May 11th, 2024, Wofai Fada, a talented actress and comedian, is commemorating her birthday. In the midst of an ongoing family dispute involving her husband, she has chosen to disclose her true age. Actress Wofai Fada married Taiwo Cole in a traditional ceremony in Ugep, Cross River. The Cole family of Victoria Island… Continue reading Actress Wofai Fada disclosed her age in a birthday post amidst ongoing drama with her in-laws

Ziara ya Prince Harry na Meghan Markle nchini Nigeria yazua gumzo mitandaoni

NYOTA WETU Mwana Mfalme wa Uingereza, Prince Harry na mwenza wake Meghan Markle wamewasili nchini Nigeria kwa ziara ya siku tatu. Baada ya kuwasili leo mchana, wapenzi hao wametembelea shule ya msingi na sekondari ya Lightway Academy iliyopo jiji Abuja ambayo wamekuwa wakiifadhili. Wamekaribishwa na wacheza ngoma za asili na kisha kukutana na wanafunzi. Ziara… Continue reading Ziara ya Prince Harry na Meghan Markle nchini Nigeria yazua gumzo mitandaoni

MAMBA NA KIBOKO WALIOLETWA NA MAFURIKO TISHIO DAR

HABARI KUU Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametakiwa kuchukua taadhari juu ya Wanyama wakali ambao ni Mamba na Viboko wanaodaiwa kusombwa na maji yaliyotokea kwenye mito kuelekea Baharini kutokana na Mvua kubwa  zilizosababisha mafuriko maeneo mbalimbali Nchini. Mhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA, Kanda maalum ya Dar es Salaam,… Continue reading MAMBA NA KIBOKO WALIOLETWA NA MAFURIKO TISHIO DAR

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner