Tomas Tuchel akanusha tetesi za kuombwa kusalia Bayern Munich

MICHEZO “Imekuwa bahati kuwa hapa, lakini lazima niseme ukweli, kwa sababu tuna makubaliano, hakuna sababu ya kutilia shaka makubaliano haya kwa sasa. Tumefika hapa kwa kushirikiana na Uongozi pamoja na Wachezaji, lakini sina budi kuondoka mwishoni mwa msimu huu. “Sihitaji kulazimishwa kuendelea kuwa hapa, wala mimi sitalazimisha kuwa hapa, kilichobaki kwangu kwa sasa ni kuhakikisha… Continue reading Tomas Tuchel akanusha tetesi za kuombwa kusalia Bayern Munich

BEIDA DAHANE ALIYEWANYONGA YANGA APETA CAF

MICHEZO Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limemtangaza Mwamuzi kutoka Mauritania Beida Dahane kusimamia Teknolojia ya Video ya Usaidizi kwa Mwamuzi wa Kati ‘VAR’ katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Fainali Ligi ya Mabingwa Barani humo, baina ya Esperance na Al Ahly itakayochezwa Tunis, Tunisia, Mei 18. Jina la Dahane limekuwa maarufu nchini Tanzania… Continue reading BEIDA DAHANE ALIYEWANYONGA YANGA APETA CAF

MWANAFUNZI WA DARASA LA 3 AJINYONGA DARASANI

MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.

WHAT IT TAKES TO MAKE A GOOD MAN

LOVE TIPS ❤ When a man treats his woman right, there is a reason why. The reason could be:- 1. “He doesn’t want to be like his father”If his father was a drunkard, unfaithful, a wife beater and irresponsible; the man grew up vowing to be different, never to sink as low as his father… Continue reading WHAT IT TAKES TO MAKE A GOOD MAN

THIAGO SILVA KUJIUNGA NA FLUMINESE

MICHEZO Nyota wa Chelsea, Thiago Silva mwenye umri wa miaka 39 atajiunga tena na klabu ya Fluminese ya kwao Brazil. Chelsea itamruhusu kujiunga na klabu hiyo ya Brazil mapema sana kuliko kawaida na ataruhusiwa kufanya mazoezi na Fluminese kabla ya Julai Mosi. Kwa mujibu wa taarifa, Rais wa klabu ya Fluminense, Mário Bittencourt amevutiwa saa… Continue reading THIAGO SILVA KUJIUNGA NA FLUMINESE

CBN has given PoS operators two months to register their businesses

PROLIFIC NEWS CBN gives 1.9 million PoS Operators in Nigeria a two-month deadline to complete their registration with the Corporate Affairs Commission (CAC). The Central Bank of Nigeria has given PoS operators two months to register their businesses with the Corporate Affairs Commission. Failure to comply within this 60-day timeframe will result in unspecified consequences.… Continue reading CBN has given PoS operators two months to register their businesses

MOURINHO NA ERIK TEN HAG WAINGIA KWENYE MGOGORO MZITO

MICHEZO Kocha Mkuu wa Manchester United Erik ten Hag amejibu maoni yaliyotolewa na Jose Mourinho baada ya kocha huyo kutoka nchini Ureno kusema kuwa hakuwahi kuwa na uungwaji mkono kama Mholanzi huyo pale Manchester United. Mourinho alipendekeza kuwa Ten Hag amepewa uungwaji mkono zaidi katika usajili wa wachezaji kuliko ilivyokuwa wakati wa ukufunzi wake klabuni… Continue reading MOURINHO NA ERIK TEN HAG WAINGIA KWENYE MGOGORO MZITO

Borussia Dortmund yatinga Fainali kibabe ikiichapa PSG

MICHEZO Mlinzi wa kati Mats Hummels alifunga bao pekee kwa Borussia Dortmund na kuwapa tiketi ya kucheza fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya na kuwaondosha PSG kwa matokeo ya jumla ya 2-0 baada ya mchezo wa kwanza kushinda pia 1-0 walipokuwa nyumbani Signal Iduna Park. Mara ya mwisho kwa Dortmund kutinga fainali ya michuano hiyo… Continue reading Borussia Dortmund yatinga Fainali kibabe ikiichapa PSG

THE 10 KEYS TO A MAN’S HEART

LOVE TIPS ❤ If you have these 10 keys. You will never experience marital crises. Your bliss is guaranteed. Men love women who have these keys, as in love them, fall madly in love with them. In courtship, he will respect you for NOT giving him sex before marriage. It shows you are a lady… Continue reading THE 10 KEYS TO A MAN’S HEART

Old tweet of Davido speaking on Tonto Dikeh’s bedroom scenes breaks the Internet

CELEBRITIES An old tweet of Davido speaking of Tonto Dikeh’s ‘bedroom scenes’ has set the internet buzzing with reactions. Some cybernauts dug up an old tweet of the singer from 2011 where he informed her about how her love scenes makes him feel. In the old tweet, Davido who tagged Tonto Dikeh, revealed that the… Continue reading Old tweet of Davido speaking on Tonto Dikeh’s bedroom scenes breaks the Internet

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner