Ugonjwa wa Bawasiri na Chanzo Chake
Ugonjwa wa bawasiri na chanzo chake: Bawasiri, au haemorrhoids kama inavyojulikana kwa lugha ya kiingereza, ni hali inayotokea pale mishipa ya damu inayozunguka anus inapojaa au kuvimba. Hali hii husababisha…
Ugonjwa wa bawasiri na chanzo chake: Bawasiri, au haemorrhoids kama inavyojulikana kwa lugha ya kiingereza, ni hali inayotokea pale mishipa ya damu inayozunguka anus inapojaa au kuvimba. Hali hii husababisha…
U.T.I ni nini? U.T.I(Urinary Tract Infection) kwa wanawake ni maambukizi ya mfumo wa mkojo kwa wanawake ambao huhusisha figo (kidney), kibofu cha mkojo (urinary bladder), mrija wa mkojo kutoka kwenye…
Hamu ya tendo la ndoa, inayojulikana kama libido, ni hali ya kihisia inayowafanya watu wawe na tamaa au hamu ya kushiriki katika tendo la ndoa. Hamu ya tendo la ndoa…
Ute ukeni hutofautiana kwa rangi, muonekano, na harufu kulingana na mzunguko wa hedhi, afya ya kijinsia, na mabadiliko ya homoni.Aina za ute ukeni zinaweza kutoa viashiria kuhusu afya ya kijinsia…
KIFAFA CHA MIMBA NI NINI? Kifafa cha mimba ni ugonjwa unaowapata wanawake wajawazito, hasa wenye mimba za kwanza. Kwa walio wengi, ugonjwa huu hutokana na kupanda kwa msukumo wa damu…
Kulingana na data za Shirika la Afya Duniani na Chama cha Moyo cha Marekani imeonekana kwamba watu wenye kisukari huwa na hatari kubwa ya kuwa na magonjwa ya figo ya…
Rais wa Marekani, Joe Biden amewatoa wasiwasi wafuasi wa chama chake cha Demokrati wanaoonesha wasiwasi baada kutofanya vuzuri kwenye mdahalo na mpinzani wake, Donald Trump huku umri ukitajwa kwamba amechoka,…
"The key to growing a small business is not to try to be everything to everyone, but to focus on the things that make you unique and valuable to a…
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Judith Suminwa Tuluka amesema kwamba Serikali ya Kinshasa haitaki mazungumzo na Rwanda kwa sababu inaituhumu kuwasaidia Waasi wa Kundi la M 23…
🌟 Ukweli ni kwamba, Kutokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha kumekuwa na ongezeko la ugonjwa wa kisukari kati ya watoto ambao awali ulikuwa ukionekana kwa watu wazima, Shirika la…