KWANINI MAANDAMANO YA KENYA YANAMG’OA IGP KOOME?
HABARI KUU Viongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio siku ya Ijumaa wametoa wito wa kujiuzulu mara moja Inspekta Jenerali wa Polisi wa Kenya Japhet Koome na Mkuu wa Polisi…
HABARI KUU Viongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio siku ya Ijumaa wametoa wito wa kujiuzulu mara moja Inspekta Jenerali wa Polisi wa Kenya Japhet Koome na Mkuu wa Polisi…
Mchekeshaji maarufu aliyegeukia siasa, Dkt. Micheal Usi ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Malawi katika hafla iliyofanyika bungeni katika mji mkuu wa Lilongwe. Dkt. Usi mwenye umri wa miaka 55…
Kulingana na Kituo cha Kudhibiti Magonjwa (CDC), kuvuta shisha wakati wa ujauzito kunasababisha athari mbaya kwa mtoto anayekua tumboni na kwa mama. Hapa chini ni baadhi ya madhara makubwa: 🔴…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
Imegundulika kwamba sokwe hula miti ambayo ina uwezo wa kutuliza maumivu na kuzuia bakteria wanapoumwa, wanasayansi wamegundua. Watafiti wamegundua hilo wakati wanafanya kazi ya uchunguzi katika msitu mmoja nchini Uganda…
Kunywa pombe wakati wa ujauzito kunaweza kusababisha madhara makubwa kwa mama na mtoto anayekua tumboni. Ni muhimu kwa wanawake wajawazito kuelewa hatari hizi ili kuhakikisha ujauzito na kujifungua salama. Hapa…
MICHEZO Shirikisho la soka la Nigeria limekanusha kuhusu machapisho ya mtandaoni siku ya Jumatano kwamba Bodi inayosimamia Kandanda imempiga marufuku mshambuliaji wa Super Eagles, Victor Osimhen katika timu hiyo kutokana…
MAGAZETI Karibu Mtanzania popote pale ulipo kwenye asubuhi ya leo kwenye mbao za magazeti ya hivi leo popote pale ulipo kwenye Jamhuri yetu tukufu ya Tanzania.
Katika mahojiano maalum na FRANCE 24, Rais wa Rwanda Paul Kagame amezungumzia uhusiano uliopo kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo akibainisha kuwa nchi yake iko tayari…
NVIDIA AI Nvidia was founded in 1993 in the US. The current CEO is Jansen Huang. Nvidia’s solutions include AI, Data and Computer Clouding, Design and Simulation, Robotics, Self-Driving Vehicles,…