MICHEZO Kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Emmanuel Amunike ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Nigeria . Amunike anakwenda kuchukua nafasi ya mkufunzi José Peseiro ambaye aling’oka kwenye kiti hicho baada ya kumalizika kwa michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast . Kabla ya kuwa kocha, aliwahi kukipiga katika… Continue reading EMMANUEL AMUNIKE ATEULIWA KOCHA MKUU NIGERIA