MANCHESTER UNITED YAWEKA WACHEZAJI WAKE SOKONI

MICHEZO Manchester United wako tayari kuwauza wachezaji watatu ,Raphael Varane, Henrique Casemiro na Jadon Sancho ,mwezi January. Mpango wa kocha Eric Ten Hag ni kupunguza idadi ya wachezaji ambao umeambatana na ripoti zinazodai kuwa kocha huyo amekosa maelewano na baadhi ya wachezaji kwenye vyumba vya kubadilisha nguo. Hata hivyo, kocha Eric Ten Hag amekanusha vikali… Continue reading MANCHESTER UNITED YAWEKA WACHEZAJI WAKE SOKONI

Please disable your adblocker or whitelist this site!

         banner